Penzi linanisumbua akili yangu

Ungetulia tu umkule ukimchoka utamwacha.Mapenz yasiyo ya kudumu hutakiwi kuwa na wivu nayo
Daaaaaah ngoja niache wivu kwa huyu mdada meanwhile najitoa kidogo kidogo sababu ni kweli nakubali nilimpenda, wacha nitoke kwenye penzi la wivu nibaki kwenye penzi la ridhaaaa huku nikitafuta kuwa free for all, kwni kuacha nako itakuwa ni process
 
Mapenzi na mtu mliye ofisi moja ni kujitakia majanga tu.
 
Mskip huyo demu utakuja kunishukuru baadae.
 
Jamani, yani unasumbua kichwa kwa mwanamke ambae ana wanaume wa tatu????????? mume, boss na wewe 😱😱😱😱 mweeeee. Nimeishiwa pozi
Sasa sijui tuoe majobless maana huko maofisini kila MTU anajisevia...
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umenifurahisha sana, jamaa anacheza na mali ya wenyewe. Ni Kama kukata tawi ulilolikalia.
Sasa sijui anachoumia ni nini!! Mwanamke ana wanaume 3 tena ni mke wa mtu.

Yaani anataka mchepuko sbaki yeye tu πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaha wewe bado bwana mdogo sana kama unamuonea wivu mke wa watu. Unachotakiwa kuelewa hapo ofisini siyo boss tu ndiye mlaji pekee kuna wenzio wengine wamekausha wanakusoma tu.
 
Mkuu kwani unataka ujenge fensi kwnye hiyo mbususu tafuta kidumu cha pembeni uwe unachapa iwe ngoma droo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…