jitulawatu
Member
- Aug 9, 2020
- 52
- 49
Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi masikini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?