jitulawatu
Member
- Aug 9, 2020
- 52
- 49
π€£π€£na mtaachana tuVile mimi na Babe wangu wa JF tunafuatilia kwa huzuni kubwa kisa chako cha 'penzi linaporomoka wakati tunakaribia kuonana'ππππ
View attachment 2381513
Asipoelewa hatuna msaada mwingineVuta subra,sikiliza moyo wako vema..usikurupuke..moyo ndio utoa jibu sahihi,sio mdomo.
Wanga wapogo tuπ€£π€£na mtaachana tu
UtasikiaπΆπ΅naipenda Tabia yanguπ΅πΆπΆSijui nipoje πΆ sijui nipooje nikishamchoka sababu namtafutia mimi πΆ sijui nipooje πΊ
π€£π€£π€£Ana chura!π€£π€£na mtaachana tu
π€£π€£π€£Ugonjwa wakoπ€£π€£π€£Ana chura!
Wewe ipo pia?ππππ€£π€£π€£Ugonjwa wako
Sijajaliwa mkuuWewe ipo pia?πππ
Kuna hiyo situation sijui tuiitaje ila ni ya mpito mkuu jipe muda tengeneza mazingira ya kummiss nadhan upendo utarud,,ukimuacha baada ya mda utammiss tena mkuuJaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi maskini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?
Ndio penzi linakomaa hivyo.Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi maskini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?
Umeongea ukweli mtupuKuna hiyo situation sijui tuiitaje ila ni ya mpito mkuu jipe muda tengeneza mazingira ya kummiss nadhan upendo utarud,,ukimuacha baada ya mda utammiss tena mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naelewa hiyo hali na nikajifunza katika kuwatokea hawa watoto wa kike gia ya kusema utamuoa sio nzuri na sitakuja kuitumia tena wanawake wengine huwa wanamaanishaJaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi maskini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?
Asante boss[emoji120]Ndio penzi linakomaa hivyo.
Mlikotoka lilikuwa penzi changa.
Oa huyo ndio mke wako na uishinde hali hiyo
Asante mzee wa kupambaniaNaelewa hiyo hali na nikajifunza katika kuwatokea hawa watoto wa kike gia ya kusema utamuoa sio nzuri na sitakuja kuitumia tena wanawake wengine huwa wanamaanisha
Huwa wanaumia sana kihisia na kulia ukiwa umeshamgegeda sana halafu baadaye mdogomdogo unajitoa kwenye kuoa
Jaman mimi ni mwanaume niko na kamchumba kangu tulikuwa tunaongea na simu mpaka saa nane za usiku[emoji23][emoji23], ila gafla baada ya kuamua kuoana naanza kuona ninapunguza upendo kwake tena bila hata sababu ya msingi maskini ya Mungu.
Ila najikuta namtafutia visababu yaani vikasoro kasoro, japo yeye mwanamke wangu ndiyo kafa mpaka anaoza, sasa sielewi kwa wote huwa inakuwa hivyo au ni mashetani tu nipuuze?