Bila shaka ,hamna hoja yoyote ITAKAYOWEZA KUKUBADILISHIA UHALALI WA WAZAZI ...SINDIO???.
KAMA NDIO ,,TULIZA MAKALIO YAKO CHINI YAPATE JOTO .
Hawapo ,,ila nmelazimika kuwafikisha hapa ...ukitaka kujua kwann???Wazazi wamekujaje ss hapa kwa mfano
Ama hakika.Sana tuuu
Hawapo ,,ila nmelazimika kuwafikisha hapa ...ukitaka kujua kwann???
REJEA KOMENTI YAKO YA KEJELI ULOITOA .
Basi saw mkuuu.., you just need to control ur tongue ...then namm nicontrol ulimi Wangu.Sihitaji kurejea hata nakijua nlichokiandaka nikwamba usilazimishe watu waamini au waseme utakavyo ww alafu swala la wazazi huku halimo man nimecomment kitu kimekukwaza deal na mm mjomba wengine waache
Let me never argue with 'woman'Multiple ID tu hamna lolote.
Naona umekuja na Waraka mrefu kushinda Wa yohana. Usiniforce niwe positive wakati hili ni jukwaa huru .halafu Hizo couple ulizoziorodhesha Kiufupi sizifatiliagi Kabisa na sizijui mimi Huwa na comment kilichopo wakati huo.JF bana ..akiwa Bold na Nipha [emoji818]
Akiwa Ivuga na ina[emoji818]
Akiwa Daby na nanii[emoji818]
Akiwa Sky na Aspirin[emoji818]
Akiwa smart na mahondwa[emoji818]
SASA AKIWA ,,MIMA NA PUTIN[emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777][emoji777].
Cheeeeeee jaman ,,, Shida ni Mimwhite ????????? Au shida ni Putin????????? Bado naendelea kufikiria lkn jibu sipati .
Mbn mkiandikiwa au mkiandikia ,hamna Mahali Mimwhite au Putin tunakuja kuwadis ????? Sijui multiple ID ,,sijui fake ID sijui ivi Nov 24 hayo yamefanywa muda gan ??? Sijui cheeeeeeeee Mimi Putin NIMEWACHOKA . MWACHEN BINTI WAWATU APUMUE CHEEEEE ...KAMA UNAMWANAMKE AU MWANAMME MUANZISHIE UZIIII ,,TUJE TUCHANGIEEEEEEEE ..TATIZO MNAWAPENZI KIBAOOOOO HUMU SASA UNAWAZA UKIMUANZISHIA YULE ,,NAHUYU ATAGOMBA ,,ACHENIIII ZENUUUUUUU.
IFIKE WAKATI MKUBALIANE NA MATOKEO KWAMBA MIMAWHITE NI MWANAMKE WA PUTIN FULL STOP....... SASA MULTIPLE ID ILI IWEJE ?? YAAAAN YEYE MIMA NDO ANAENDESHA NA AKAUNTI YANGU???? AU MIMI PUTIN NDO NAENDESHA NAIYO??.
ITS TIME TO FACE THE TRUTH KWAMBA ,,MIMA IS IN LOVE WITH PUTIN ... ....
NAHUYU MWANAMKE NIBONGE LAKISUUUUUUUU YAAAAN NIKISU BALAAAAA ,,KAMA NI CHAKULA UNAMLA BILA MBOGA [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aaahhhhh sawa ,,kumbe Couple hiii ndo inakupanda kichwan sana sababu ipo wazi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] .Naona umekuja na Waraka mrefu kushinda Wa yohana. Usiniforce niwe positive wakati hili ni jukwaa huru .halafu Hizo couple ulizoziorodhesha Kiufupi sizifatiliagi Kabisa na sizijui mimi Huwa na comment kilichopo wakati huo.
Hahahaaaaaa Eti Hiyo couple inipande kichwani kwa lipi hasa, naona comment yangu imekutoa povu Sana .sio kwa magazeti unayoshusha . Na ukinidharau ndiyo kinabadilika nini kwa mfano ?Aaahhhhh sawa ,,kumbe Couple hiii ndo inakupanda kichwan sana sababu ipo wazi [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] .
Then stop ur Curious Varvara's nose kwasababu HAMNA COUPLE YA JINSIA MOJA !!!.
KINACHOFANYA NIKUDHARAU ,,, NIUNAPOTUMIA KULAZIMISHA SHE IWE HE NA HE IWE SHE ...IMPOSSIBLE .
Weee nenda uendeleee kupost umbeya unaousikia maredion na mitandaon basi .
Hahaha hamna kitu hapo.Hahahaaaaaa Eti Hiyo couple inipande kichwani kwa lipi hasa, naona comment yangu imekutoa povu Sana .sio kwa magazeti unayoshusha . Na ukinidharau ndiyo kinabadilika nini kwa mfano ?
Safi sanaaaaaa .Sidhan kama anamfikia wangu hata robo
HahahahaVladmir Vladimirovich mwenyewe
Hivi kwanini mnadhan hivyo?Multiple ID tu hamna lolote.
Leo nimepost vizuri eeSafi sanaaaaaa .
Putin alinisaidia sana leo kufikisha ujumbe wangu kwa kipendacho roho kama sabrina, nami namtakia kila la kheri,Hallo.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.Jomoniii mnisamehe bure napopata muda kama hivi naleta mrejesho kwenu wana JF .Ni kuhusu mahusiano yangu na Mr Putin niliyekutana nae humu Jf.
OK nafurahia sana na nainjoi mapenzi yangu na mwanaume huyu niliyokutana nae huku JF mwanaume kwenye kila aina ya vigezo vya kunimiliki mwanamke kama Mimi.Sina nachopungukiwa tangu niwe naye unajua kunifanya nijihisi mwanamke aliye kamilika...Aiseee kuna wanaume wanajua kushow loveee jamaniiiii mpaka najihisi malaika now..Asante mungu kunikutanisha huku na mwanaume wa ukweli unaenjua mwanamke unataka nini na kwa wakati upi.
Umeongeza furaha Mara dufu kwenye maisha yangu na kunifanya nijione mwanamke niliyekamilika.Sijutii kukufahamu naridhika na huduma zako,Utanashati wako,unavyojua kunishauri mambo mema mwisho kabisa unanimalizaaaa kwenye mambo yetu yaleeee....uwiiiii yelewiiiii acha niishie hapa.
Kifupi sijawahi kujutia kukufahamu,Sijawahi kujutia mapenzi yako kwangu.
From to Mima wa Vladmirovich putin
Mkuu tuko pamoja, na shemeji ako umsalimie piaGud mkuuu.
Mkuu...Kila la heri kwenye mapenz yenu