Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha... Wewe... Unataka kujisahau siyo...
Pamoja kiongozi, haters wanatamani kuwa kama nyie ila ndio hivyo tena imetokea kwenu na si kwingineko [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sana mkuuuu sanaaa..... Yaaan hapa kuna kuna moyo mzuri na kichwa kizuri ..bila shaka hiii combination ni fire[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109] [emoji120]
Hahaha... Wewe... Unataka kujisahau siyo...
[emoji40] [emoji40]
Majanga?
Wanaume ndo hawako weak.. Acha kufananisha malaika na vitu vya kijingaHakuna malaika mwanamke... Malaika wote ni wanaume....
Malaika hayuko weak kama binadam... Ushauri wangu muache kufananisha vitu vyenye athiri ya dhambi na vitakatifu....