Penzi zito na bubu

Pamoja sana H-BABA
 
Ivi bubu anacheka?Na uliwah kuelew ishara zake za maongezi. Anyway tumeipokea[emoji16]
 
Bila ya picha ya bubu huu uzi utakua haujakamilika.
Nakumbuka kipindi cha primary darasa la tano tulisoma na shombeshombe mzuriiiii ila kuongea hawezi (bubu) lakini anasikia vizuri tu, alikua kichwa sana kuanzia darasa la 5 alipohamia shuleni kwetu mpaka anamaliza darasa la 7 hakuna mwanafunzi aliemtoa kwenye nafasi yake ya kwanza.
Huyu binti alisababisha niipende shule kwa ajili yake, yaani ile nikimuona tu hua nasikia furaha na amani kama yote ila ndio sikuwahi hata kumtamkia kua nnampenda.
Hata na yeye pia alikua na hisia kama zangu ila kwa ule utoto tulishindwa kuwekana wazi.
 
Aaaaa mzee ungejaribu ungekula kitu kitamu hamna mfano.. mtafute sasa
Tulikua bado wadogo, kipindi hicho hata mashine ilikua bado haijaanza kusimama vizuri.
Imeshapita zaidi ya miaka 25 na tokea tumalize primary hatujawahi kuonana tena mpaka leo hii.
 
Umeliwa kimasihara
 
Hongera zako
 
Tulikua bado wadogo, kipindi hicho hata mashine ilikua bado haijaanza kusimama vizuri.
Imeshapita zaidi ya miaka 25 na tokea tlivyomaliza primary hatujawahi kuonana tena mpaka leo hii.
Wewe umemaliza shule mwaka 1997....now unamiaka kuanzia 38+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ