financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Ulivosema anakuachia posho aah ndiyo umeharibu kabisa, nimeona unapenda kamserereko hivi.
Anyways binadamu wote ni sawa na tuna haki ya kupenda na kupendwa, oa kabisa mkuu.
Anyways binadamu wote ni sawa na tuna haki ya kupenda na kupendwa, oa kabisa mkuu.