Comrade Ally Maftah
Member
- Nov 6, 2016
- 77
- 271
PACOME NI NANI, AMETOKEA WAPI, NA ANA SIFA ZIPI ZINAZOMFANYA KIWIKA KATIKA SOKA LA TANZANIA
Na Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
Peodoh Pacome Zozuzoua kiungo mshambuliaji wa klabu bingwa ya soka Young African ( YANGA ) amezaliwa katika mji wa Abidjan Autonomous pale Cote D Ivore ( Ivory Cost ) April 30, 1997 hivyo miaka 27, ana urefu wa sentimita 175. jambo linalomfanya kuwa na uwezo mzuri wa kudhibiti mipira ya chini, ya juu na ya kima cha mbuzi kwa sisi tuliocheza mpira tunajua athari za kimo katika udhibiti wa mipira, wachezaji wafupi ni wazuri kwenye mipira ya chini na warefu mipira ya juu ila sisi wa kima cha kati uchawi ni kuweza kuruka tu unajitosheleza kwa mipira yote, sentimita 175 ni kimo cha wastani.
Kabla ya kuja katika clubu bingwa ya soka Afrika Young African amepita kwenye mikono ya timu mbalimbali. kamaifuatavyo.
Sept 2017 - Dec 2018
Sporting Club de Gargnoa
Feb 2019 - June 2019
BFC Daugaupils
Jan 2020 - June 2021
Africa Sport d Abidjan
Aug 2021 - July 2023
ASEC minosas
July 2023 Mpaka sasa
Dar Young African ( YANGA )
KWANINI PACOME AMEKUWA NA MVUTO KWA WAPENZI WA SOKA WENGI ZAIDI
1. Team bora ya Young African yenye weredi wa kibiashara imemuunda vizuri kimuonekano
2. Muonekano wake wa asili na mtindo wa nywele ambao ulimtambulisha na ameendelea nao, mtindo wa kuweka breach ni mgeni kidogo nchini, umemletea mvuto wa kipekee
3. Uwezo wake uwanjani na nidhamu aliyonayo vinampa sifa nzuri na mashabiki wanampenda zaidi.
MAKALA ITAENDELEA.
NDIMI
Comrade Ally Maftah
PACOME WA MCHONGO
MCHAMBUZI WA SOKA
0785670227