People living around Mt. Kilimanjaro

Wapo kikazi ah no kibiashara zaidi kama huyu: kula pembeni pembeni katikati mwachie masawe kula pembeni pembeni katikati mwachie masawe. MAPIGO YALIPOZIDI IKAWA HIVI: Uwiiii kula yote masawe atakula mafi yakee!!!!
 
Umejuaje hajakudanganya mpaka sasa! LoL

Wote wanadanganyana. Siku chache zilizopita aliandika kuhusu vijamaa vinavyojitutumua kwa makeke wakati yeye "anasema huyu naye" halafu anaomba maji ya kunywa. Nikamuuliza wewe mke wa mtu hawa wenye vibamia hukutana nao wapi? akasepa na kuamua kukaa kimya. Hivyo inaelekea na mwenyewe ni muongo mzuri sana.
 
Hebu tufahamishe kama mke wa mtu hivi vijamaa vinavyojitutumua kumbe rohoni kwako unasema, "huyu naye makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo" huwa unakutana navyo wapi?
 
Aiseee babaaanguee...umeanzisa fita sioee..
Mi ntakusupiria hapa Sango rodi..huko Ulara ufiki aisee!
Lulekupaaeee...mpaka uimbe wimbo wa kwanza!
Ambuya ulao isembo.
 
nothing reallyπŸ˜€

Huyu kijana naona ameamka na hangover! Hivi jana ulinisms?

Usifanye mchezo na promotion ya valeur.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hebu tufahamishe kama mke wa mtu hivi vijamaa vinavyojitutumua kumbe rohoni kwako unasema, "huyu naye makwekwe bure bao moja kinatafuta maji ya kunywa yalipo" huwa unakutana navyo wapi?

ignore list...continua
 
Huyu kijana naona ameamka na hangover! Hivi jana ulinisms?

Usifanye mchezo na promotion ya valeur.......πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
wewe bana NILIJUA TU!nilivyoona kimya nikawa mpole.kesho UKWENI(rombo) kama kawaida au?πŸ˜€πŸ˜€
 
shame on you! nilikuwa sijapita humu. huwajui kiivyo wewe. nashangaa hawa waliopewa jukumu la kusimamia jukwaa wanafanya nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…