People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

please lumbaneni kadiri muwezavyo. lkn umoja wa nchi yenu ubakie pale pale.
Wacha tu kiumane mkuu. This country has been LOOTED!!!!!
Tumeona madikteta wengi sana lakini mwisho wao haukuwa mzuri.
It is either a Credible Election which will be Free, Fair and Verifiable or we part ways. Liwalo na Liwe.
 
Sasa kati ya NASA na iebc nani ako na mandate ya kusema kama kuna election au hakuna??do you realise iebc will only have to make sure polling stations are opened in those areas and if people decide not to vote or vote that's their right but it won't invalidate an election
 
i
Kuna watu wachache waliojaliwa kuwa na maono ya mbali sana. Nyerere ni miongoni mwa hao watu.
ila kwa muelekeo huu nyerere ashukuriwe.
na aliwahi sema East Africa ikiungana, ukabila utafutika wenyewe. kutakuwa na ubaguzi wa kwamba wale waTz wale waUg, lkn hakutakuwa na sijui waluhya kamba menu kalenjin luo etc etc.
 
Leo umesema ya moyoni bila ushabiki, hayo uliyosema ni ukweli mtupu, pia amekuwa akiyazungumza sana Dr. DAVIDI NDII japo anaonekana kuegemea NASA hivyo kutosikilizwa na Jubilee lakini mengi anayozungumza ni ukweli mtupu, huyu jamaa amesoma na kuelimika sana, kwa kifupi Kenya sio rahisi kuwa nchi moja, jamii za Kenya zinatofautiana sana, na zimeshindwa kuishi pamoja kwa kuridhiana.
 
I support Nyanza secession. Very uncivil people with no respect for life, property or nudity. But man, that's one ugly flag. But perhaps since Luo culture is similar to South Sudanese, it makes sense to have a similar flag.

Anyway, the election will be held on 26th in all constituencies. Whether the governors send hooligans to disrupt or not, bottomline is an election happened.

Those who will feel unhappy can hold theirs in December or January. Or better still, Raila can wait for 2022 to vie against Ruto.
 
Failure to do an Election in any Polling Center or Polling Station nullifies an Election. There is no need to waste the Kenyan tax-payers money
 
Hata kwenye uchambuzi wa uchumi,Dr.NDII,alielezea mwelekeo wa uchumi wa Kenya ulivyo na Watz,wengi walimtukana. Na sasa tunayaona.
 
Failure to do an Election in any Polling Center or Polling Station nullifies an Election. There is no need to waste the Kenyan tax-payers money

Lol
Another lie you have invented for yourself and believed.
Constitution only talks of election in all 290 constituencies.
A single person voting in a single polling station in a constituency is enough to satisfy the legal parameters.
 
Wacha tu kiumane mkuu. This country has been LOOTED!!!!!
Tumeona madikteta wengi sana lakini mwisho wao haukuwa mzuri.
It is either a Credible Election which will be Free, Fair and Verifiable or we part ways. Liwalo na Liwe.

please fahamu ya kuwa hii ni nchi. siyo kama labda ni ligi ya mpira. hii ina maana kubwa sana. Kenya inabidi iwepo hata baada ya uchaguzi.
 
Failure to do an Election in any Polling Center or Polling Station nullifies an Election. There is no need to waste the Kenyan tax-payers money
What you don't understand is if a polling station is opened and no one turns they will put 0 which is still a number...there's nowhere in the constitution it states the minimum % turnout...... And furthermore do you really think no one will actually come to vote, even jubilee supporters in those areas?
 
Wacha tu kiumane mkuu. This country has been LOOTED!!!!!
Tumeona madikteta wengi sana lakini mwisho wao haukuwa mzuri.
It is either a Credible Election which will be Free, Fair and Verifiable or we part ways. Liwalo na Liwe.

Funny that wenye wanasema kiumane are the ones on the opposite side of the bullet.
We the majority have decided that Raila will no longer be the yardstick of a free and fair election.
And there is no dialogue. Demonstrate everyday until 2022 if you can.
 
Ukabila itakumaliza.
Unazungumza as if uhuru ni ndugu yako.
 
Ati majority!
As a kikuyu naamini Raila ndio dawa ya ukabila kuisha kenya,mmekuwa brainwash na wanasiasa sana hadi mnasahau ukweli.
 
lakini mtazamo huo wa MK254 unafaa kwa mstakali wa Kenya??
 
MK254,tatizo sio nyinyi wananchi, viongozi wenu ndio wanawagawa kwa uchu wa madaraka.naamini baada ya 26,smthing negative or positive, lazima itokee Kenya.
Nope...either way you see it kutakuwa na two outcomes ...one good for half the other bad for the other half ....which half will be good ndio sasa hoja!!
 
Well
Wewe bishana sina time ya kujibizana na ma psychophant!!
 
Lol
Another lie you have invented for yourself and believed.
Constitution only talks of election in all 290 constituencies.
A single person voting in a single polling station in a constituency is enough to satisfy the legal parameters.
Hii ndio ubaya ya kuelect kina kigeugeu to parliament wakati NASA ilikua inaelect Lawyers.
Still waiting to see how Siaya County will vote on 26..... No. Actually there won't be an Election on that day
 
Really dont gve two shits about your psycho position!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…