People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

Maccm ni makenge haswa.Nani hajui tangu uhuru mna mission ya wazi dhidi ya wachaga? Ni wapumbavu wa Lumumba tuu ndio wanaweza piga vita ndugu zao wenye kufana kazi kwa bidii na kuwalisha nchi nzima.Wengine ni kukimbilia ktk power ili wale bure km minyoo inapokaa ktk utumbo mkubwa ili wale chakula kabla ya absorption.Hata hawaachi host ale kidogo hata kesho wawe na hakika .Wachaga wanabeba taifa zima la wavivu.Wavivu nao hawana akili wanataka ua host.
 
Wee wacha huo mfumo wa ki-socialist na "engineered democracy". Kenya ni nchi ya one man,one vote with free democracy ambapo mwenye kura zaidi ndiye kiongozi.Ubaya wa kuwapa watu wengine usukani ni kwamba they have nothing to lose so they will mess up and institute unhealthy rules "to balance" things when it should be all about meritocracy.
 
Bado hyo katiba haijaweza kuzuia personal interests za wenye uchu wa madaraka.

Vitu kama hv visingekuwep kama hao viongozi wa kikenya wangekuwa wanaiheshimu hyo katiba.
 
Shame on you man, me mwenyewe mchaga pure, I can tell you're a very bitter man, specifically towards the current government. I can foretell you will die a bitter man, because with your current political affiliation, you're never going to be elected as executives, komaeni na wabunge, sababu hao kuna uwezekano mkubwa wakapigwa vikumbo kwenye majimbo yao, 2020.
Wewe insult venye unapenda, you're home ain't that fine.
 

soma vizuri post yangu uliyojibu. rudia ndiyo utume post. utaelewa nilicho maanisha.
 
Wewe akili zako zipo nyuma sana, hata marekani ambako nyie wakenya ndiko mnakokuabudu zaidi, nako pia wanatumia mtindo huo wa electro votes ili kulinda majimbo yenye watu wachache.

Kitu kimoja kinachojitokeza ni kwamba wakenya hawana uwezo wa kujua nini hasa ni tatizo la msingi la nchi yao na kutafuta ufumbuzi unaoendana na nchi yao, Kenyans ni watu wa kuiga sana, hasa hasa wanawaiga sana wazungu wa magharibi, kila kinachofanyika huko wanakichukua kama kilivyo bila kujua kama kinawafaa hapo Kenya au hapana, katika hili, hata Marekani walichagua mfumo wa demokrasia ambao utalinda maslahi ya majimbo yenye idadi ndogo za watu, sio one men one vote, ninyi wakenya wengi uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana, kwa sababu ulishasikia neno one man one vote, hata kama linawaletea matatizo hamuwezi kutumia akili kuona mfanye nini, ila kwa sababu wazungu ambao ni mabwana zenu wanatumia mfumo huo na nyinyi mnaimba kama zuzu tu, kwa sababu wazungu wanazingumza kiingereza, nyinyi mumeacha kuthamini lugha yenu ya Taifa mnakimbilia Kiingereza..jinga kabisa
 
I dont care your claims that you are Mchaga as long as dont have time to check if your are bastard or not. Endelea kuwa impress unaowatakwa wakupe bure ili ukaachie chooni. We will support even parasites like you. For the moment hii nchi inabebwa na wactu wachache sana ndio maana ni ngumu. Fools like you wanadhani kujipendekeza ndio profession. Tukipenda wote kujipendeza.Hiyo kazi itakuwa ngumu pia kwako, kwa vile hata huko wewe ni kilaza tuu.
 
Excellent. Trump and co are clearing all the mess created by the leftists. Hii huyo kenge wetu hawezi jua".....they have nothing to lose so they will mess up and institute unhealthy rules "to balance" things "......... Hii ndio tofauti ya thinkers za chadema na CCM. Huwa hata kumwaga damu hayajali. CCM huwezi jua wapo ktk real project au test project, na akili zao hazioni hilo.
 
Tatizo lako uandhani IQ pekee inasaidia. RATIONALITY ktk thinking yako inatofautisha fikra za mtu bila kujali IQ. Unaweza kuwa na IQ kubwa ila ubongo umekuwa proprammed badly na hivyo IQ inakusadia kuprocess data nyingi na haraka, ila inaprogramme vibaya na vivyo unatoa mzigo mkubwa wa ujinga. Ni kupitia huo mzigo mkubwa wa ujinga ndio unapanda mbegu nyingi za ujinga, baadae hata lishe inakuwa mbaya .Mzinguko unaendelea hivyo hivyo hadi mnajikuta hamjui shida ni lishe au reasoning. Na wakishakuwa wengi wapuuzi, wengine watatawala, na baadae upuuzi utauwa ndio akili ya taifa.
 
soma vizuri post yangu uliyojibu. rudia ndiyo utume post. utaelewa nilicho maanisha.
Mkuu unaamini sikuelewa?Utakuwa na shida ingine.Pengine una mkwamo wa kutoka hapo ulipo sasa unataka downplay upande wangu ili uchomoke.Sio honest way ktk mjadala, na hiyo inaonyesha jinsi pia unajidanganya sana.Watz ni waongo hadi ktk nafsi zao.
 
Am independent fool, impressing God and my close people, sitegemei kupata mkate chadema ikishika madaraka kama wewe propagandist wao na li dp lako tokea enzi za Slaa and before, wewe tukana upendavyo, you will prove what I just told you in 2020. Huna hata aibu kuleta ukabila at this age and time in Tz? Shame on your face nyumbu, you're nothing, na utaona wachaga tunavyomkubali Magufuli 2020.
Jitu zima hoovyoo. Ndio maana both y'all are loosers forever
 
Duuh..hapa umenichanganya kabisa, sijaelewa nini ulitaka kukisema
 
Mkuu unaamini sikuelewa?Utakuwa na shida ingine.Pengine una mkwamo wa kutoka hapo ulipo sasa unataka downplay upande wangu ili uchomoke.Sio honest way ktk mjadala, na hiyo inaonyesha jinsi pia unajidanganya sana.Watz ni waongo hadi ktk nafsi zao.

Rudi kwenye hoja kuu. Hapa hatushindani namna ya kuongea maneno mengi. Rudia kusoma ile post halafu ujikite kwenye hoja.
 

Pwani si kenya,siye tumo mbioni kujiondoa pia,hatutakini wagikuyu na chuki na ubinafsi wao,tamaduni zao mbovu kweli kweli, uliokosa utu na ustaarabu.
 
Can't argue with a fool really .Badala ya kujadili hoja vizuri tu umeona attack the messanger na kuwashambulia waKenya kwa ujumla.
 
Can't argue with a fool really .Badala ya kujadili hoja vizuri tu umeona attack the messanger na kuwashambulia waKenya kwa ujumla.
Sorry kwa hilo brother, lakini bado point yangu ya msingi inabaki pale pale, kwamba Kenya lazima itafute mfumo mzuri wa uchaguzi utakaoendana na mazingira ya Kenya, hasa hasa Ukabila, huu mfumo wa sasa hivi hauwezi kufanya kazi sana sana utazidi kuwagawa wakenya
 
Age ipi wewe.Jipendekeze km akina Jerry slaa.Ukabila wanaouleta huwezi kuwaona kwa mamcho yako ya akili ndogo.Na hata kimaadili huna kabisa ya kutosha kukuwezesha kuukemea ukabila. Upo wazi, na kwa taarfa yako ccm wapo very predictables sana.Unatia ibu sana,utumia ukabila ku black mail others ili wasijitetea pale ukabila unatumika dhidi yao. Foll like your as you have claimed, have nothing to loose, na huwa hata kanisani hawatoi saaka, ktk sherehe hawakuchanga ila wanataka best servoces, ktk ukoo huwa wanazaa sana wakidai ni haki yao, ila kk kulea hakuna haki yao.Ni ndugu ndio wabaya hawasaidii wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…