Wewe akili zako zipo nyuma sana, hata marekani ambako nyie wakenya ndiko mnakokuabudu zaidi, nako pia wanatumia mtindo huo wa electro votes ili kulinda majimbo yenye watu wachache.
Kitu kimoja kinachojitokeza ni kwamba wakenya hawana uwezo wa kujua nini hasa ni tatizo la msingi la nchi yao na kutafuta ufumbuzi unaoendana na nchi yao, Kenyans ni watu wa kuiga sana, hasa hasa wanawaiga sana wazungu wa magharibi, kila kinachofanyika huko wanakichukua kama kilivyo bila kujua kama kinawafaa hapo Kenya au hapana, katika hili, hata Marekani walichagua mfumo wa demokrasia ambao utalinda maslahi ya majimbo yenye idadi ndogo za watu, sio one men one vote, ninyi wakenya wengi uwezo wenu wa kufikiri ni mdogo sana, kwa sababu ulishasikia neno one man one vote, hata kama linawaletea matatizo hamuwezi kutumia akili kuona mfanye nini, ila kwa sababu wazungu ambao ni mabwana zenu wanatumia mfumo huo na nyinyi mnaimba kama zuzu tu, kwa sababu wazungu wanazingumza kiingereza, nyinyi mumeacha kuthamini lugha yenu ya Taifa mnakimbilia Kiingereza..jinga kabisa