People Republic of Kenya Mathare north Constituency Nairobi County

Sammuel999

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2016
Posts
3,481
Reaction score
2,347
87135cacac59d5edc0499549e01521b7.jpg
 
I'm being naïve here, but Sammuel999, which side are you supporting ?
 
Nasa ofcourse
Cant support murderous, corrupt, propagandic regime full of favouritism...kila mahali wanaenda wanaanza "ona tumeweka mtoto wenu minister of interior na education" "ona tumeweka mtoto wenu Chief Justice" lmao aliwafanya mambo and its just the begin'n ....Hakutakuwa na Kura 26th wacha hao watu
Central na Uasin gishu na bomet wapige kura tuone kama watamueka awe Rais...already

Siaya
Kisumu
Kitui
Makueni
Mombasa
Turkana
Zimesema hazitashiriki kwa Kura hyo!!! Not my president!!!
 
Mathare haiezi kuwa people's republic... Actually the whole of Nairobi and you know that
Sawa
I guess haujuona venye germany ili divide,...East na west Berlin was split righy in the middle but issorait!!!

Nimeona wamama kutoka eneo fulani ya Kenya waki faint juu wameboeka sana na Raila....i see all of you as psychophants (jubilee supporters that is)

Mpaka mna justify kuwa dictatorship ilitu Uhuru awe Rais smh!!!

Mpaka mnashangilia watu wakikanyagwa na magari ili tu mbaki serikalini!!!

Bunch of psychophants ...
 
Ni nani yule alipitia waandamanaji na gari as if anapitia majani. Another extremists I guess
 
But binafisi nimesema siku nyingi, naona hii ndio njia pekee, japo wengi tunatofautiana kila nikilizungumzia. Nchi hii tumeishi kinafiki kwa miaka mingi, japo tuna katiba bora zaidi ya zote Afrika lakini tumevurugwa kiakili na viongozi na kuishia kuchukiana hata bila sababu.

Igawanywe vipande tu ili tuagane kila upande uende unakotaka. Tumeishi mkao wa kufuata mkumbo na maagizo ya viongozi, leo hii hata hiyo mnaita People republic, ikitokea Kalonzo na Raila wagombane, mtaigawa vipande zaidi, pia ikitokea Uhuru na Ruto wawe na ugomvi, hicho kipande mtakachotuachia itabidi tukigawe zaidi. Yaani nchi tunaendesha kwa hisia za viongozi.

Kiongozi wa kule akigombana na wa huku mnagawa nchi, wa hapa akigombana na wa pale mnagawa nchi zaidi, huo ni mtindio wa ubongo. Kwamba kesho ya kesho Mudavadi akigombana na Wetangula hata Uluhyani itabidi wagawane, kabogo akigombana na Kiraitu tunagawa mkoa wa Kati.....upuzi mtupu.

Halafu unafiki ndio zetu, hamna upande wowote unaoweza kulekeza kidole kwa wa pili, mlengo wa NASA unaongozwa na viongozi wakabila watupu, vile vile Jubilee hawana utofauti wowote.

Naomba hiyo tarehe 26 ifike mapema kama pachimbike pachimbike tu, kama tutatengeneza tutengeneze, lakini ndio iwe mwisho wa haya malumbano, kila Mkenya awe tayari kulipia gharama, wa kufa afe, wa kuishi aishi lakini akiwa na amani akilini, aidha tuigawe nchi vipande au tuiboreshe lakini baada ya hiyo tarehe 26 lazima kieleweke. Sio kila wakati kiongozi akishindwa kwenye uchaguzi, kinachomjia akilini ni kuvuruga na kuharibu kila kitu, lazima tufike mwisho wa haya.
 
Mbona mnaogopa kuchapana? Chapaneni sasa tuone na hako kakatiba kenu.
 
Kabla ya kukimbia kila mtu na kwake, mtafakari ushauri huu wa mzee wetu Nyerere.

MK254,tatizo sio nyinyi wananchi, viongozi wenu ndio wanawagawa kwa uchu wa madaraka.naamini baada ya 26,smthing negative or positive, lazima itokee Kenya.
 
huo uchochezi hatuutaki hapa. mbona unaongea kama msomali wa miaka ya Mohammad Siad Bare. nchi ikigawanywa unafikiri kuna kitu kitabaki. hayo mawazo yako ni mabaya sana. hayajengi. duniani kote nchi zinaishi kwa kuvumiliana. hamna siku ambayo matakwa yako yatatizwa mia kwa mia. hata wamarekani wanaishi kwa kuvumiliana and this's so called democracy, the agreement of disagreement. hakuna siku ambayo watu wataishi bila kupishana kifikra. labda paradiso.
hivyo kuvumiliana na kufikiria kwamba kuna Kenya baada ya uchaguzi ndiyo nguzo ya umoja wenu.
 
Badala ya kukimbia kila mtu na kwake, mtafakari ushauri huu wa mzee wetu nyerere.

huyu mzee alikuwa akiona mbali sana. yoote aliyotabiri yanatokea Somalia, Sudan ya Kusini halafu sasa kwa makusudi Kenya wanataka kuivuruga nchi.
 
Kuna watu wachache waliojaliwa kuwa na maono ya mbali sana. Nyerere ni miongoni mwa hao watu.
 
Back
Top Bottom