The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Hivi ni watu gani katika dunia hii ungependa
kukutana nao.....
Kukutana nao hata kwa dakika chache na kupiga
picha ya kumbukumbu ikiwezekana....
Ukiambiwa uchague watu kumi tu duniani
wa kukutana nao,utachagua nani na nani and why????
Here is my list....
1.nelson mandela
2.barack obama...
3.colin powell...
4.bill clinton....
5.donald trump...
6.warren buffet..
7.koffi anan...
8.mahathir mohamed..
9.oprah winfrey...
10.p diddy......
Whats your list?????
kukutana nao.....
Kukutana nao hata kwa dakika chache na kupiga
picha ya kumbukumbu ikiwezekana....
Ukiambiwa uchague watu kumi tu duniani
wa kukutana nao,utachagua nani na nani and why????
Here is my list....
1.nelson mandela
2.barack obama...
3.colin powell...
4.bill clinton....
5.donald trump...
6.warren buffet..
7.koffi anan...
8.mahathir mohamed..
9.oprah winfrey...
10.p diddy......
Whats your list?????