People's President vs President Republic of Kenya

Bowie

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2016
Posts
4,373
Reaction score
6,084
8a81dd3b510831db556faac2b7676823.jpg
 
Mola wangu walahi
Duh!
Kweli hii?
 
Yah haikukaa poa inaonesha kuna kitu kenya mataifa ya nje hayajakifaham haiwezekani hata baada ya siku nyingi kiasi hicho kupita bado jamaa awe na ushawishi mkubwa kiasi hicho siku ile Kenyata ili kupata mob pale uwanjani alialika viongizi kibao
Waimbaji wa kutosha
Wafanyakazi na bado nyomi halikusogea ila huyu jamaa hata tim yake yenyewe haijakamilika bado kafanya kufuru
 
RAO is my President! Nasubiri kuacha kulipa kodi kwa serikali ya Republic President na kulipa kwa People's President.
 
Dah wewe mtanzanzia unaipenda Kenya sana. Umesahau juzi juzi tu ulivokuwa unaimba, hapa kazi tu na JPM jembe la kweli? 😀😀😀
 
Uongo mtupu! Hiyo picha hapo juu si ya kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Hiyo ni picha ya Jamhuri Day! Siku ya kuapishwa kwa rais U.K, uwanja wa Kasarani ulikuwa umejaa hadi pomoni saa kumi ya asubuhi. Ilibidi polisi watumie vitoa machozi kukabiliana na umati. Wewe Bowie shughulika na nchi yenu. Kenya hutaiweza bana!
 
The two events were very different hio empty stadium ilkua wakati wa jamuhuri... Kuapishwa kwa Uhuru uwanja ulijaa hadi nje kulkua na stampede
 
Raila ata akiitisha rally kasarani,Uhuru park,afraha ,kinoru,saa kumi na moja jioni,uwanja unajaa mara moja..huyu jama anapendwa na wakenya sana ata sisi Wakikuyu tunamuamini sana kama kiongozi thabiti.
 
Sasa umetaja kabila lako ndo iweje? Kawaida ya Raila na wafuasi wake. Huwa hamna agenda yeyote kando na kuchapa siasa za kikabila na kisasi. Mnamlaumu Kalonzo kwa kutofika pale bustani ya Uhuru Park. Lakini wanaomshauri Kalonzo wanasema kwamba ubaguzi wa kikabila ndani ya NASA ulizidi kabla ya hiyo tarehe, hadi Kalonzo mwenyewe hawakutaka kumueleza kuhusu matayarisho ya kuapishwa kwake. Yaani hadi kiapo chake hakujua maneno yatakayotumika ni yapi. Miguna Miguna, T.J Kajwang, James Orengo jamaa watatu waliomwapisha Raila. Hapo hata nafasi moja tu hawakuweza kumpa mtu ambaye hajatoka kule kanda la ziwa?
 
Wacha "kuropokwa"!
 
Eti nini wakikuyu ? Bro Mambo yapo poa changing inakuja Kenya very soon.
 
Sasa umetaja kabila lako ndo iweje? Kawaida ya Raila na wafuasi wake. Huwa hamna agenda yeyote kando na kuchapa siasa za kikabila na kisasi. Mnamlaumu Kalonzo kwa kutofika pale bustani ya Uhuru Park. Lakini wanaomshauri Kalonzo wanasema kwamba ubaguzi wa kikabila ndani ya NASA ulizidi kabla ya hiyo tarehe, hadi Kalonzo mwenyewe hawakutaka kumueleza kuhusu matayarisho ya kuapishwa kwake. Yaani hadi kiapo chake hakujua maneno yatakayotumika ni yapi. Miguna Miguna, T.J Kajwang, James Orengo jamaa watatu waliomwapisha Raila. Hapo hata nafasi moja tu hawakuweza kumpa mtu ambaye hajatoka kule kanda la ziwa?

I hate blind royalty. Ata kabila sitaiweka kwa maoni yangu....kwani tunajua kenya kiongozi wako ata awe shetani kama ni kabila lako inakua ni mungu mdogo!! na ipo hapa jf sana..

hayo kando.tuongelee sera. Uhuru has been there 5 yrs...na yupo tena kwa wizi au kivingine yupo. lakini ametekeleza maono yake ambayo aliuza 2012 na tumeona matokeo yake.....ripoti ya matokeo 3 kwa 10. we are worse than kibaki left in every parameter. tusiongee hewa. jamaa kapewa nguvu zote lakini ukirudi kwa manifesto 2012 ni story tupu 5 years later!!! hadithi za abunuasi na kutenga master wake...

Turudi upinzani......sikumbuki 2012 wakiapishwa kuongoza kenya kwa hivyo hizi hadithi hawawezi sikumbuki wakitekeleza manifesto zao baada ya 2012. isipokua kwa sasa wamweapisha nasubiri nione njia watayofuata, nazani wanaifahamu wao......lakini swali zote kwa uhuru na mwenzake mahali kenya ilipo wajibu......kenya secta zote zinaumwa...unauza nanazi kwa manifesto mwisho wa siku baada ya miaka 5, ni tamu chungu tunavuna...iweje!!!
 
Back
Top Bottom