Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,074
Mtatujazia bara letu na pointless weak republics. Bakini hivo. Saiv tunaungana sio kutengana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao wana western republic walikua wapi wakati jamii za mlima kenya zikipigana na mkoloni ilitupate uhuru?Mababu zetu walikula kiapo msituni, wakapambana kwenye vita na mkoloni, vita ambavyo mzungu alitumia hadi ndege za kivita kulipua sehemu za misitu kando ya mlima Kenya! Cha ajabu babu zenu ndo walikuwa mahausiboi, mbwa wa wakoloni na mainfoma na matajiri wakupindukia! Sasa baada ya Matigari ma Njiruungi kutoka msituni mambo yamebadilika ndo imeanza kuwauma!
Ooh samahani nilikuwa nimesahau. Mombasa yako inacontribute 40% to Kenya's GDP na Nairobi only 10%. Umefurahi Sasa. Hivyo ndio ulikuwa unataka kusikia nikisema?Nairobi does not contribute 50% of Kenya's GDP......that is a stupid ass ignorant statement
Well said.Kenya ni hizo tribe mbili tu ndio zinakwaruzana eti kwa sababu ya mamlaka. Na sioni ikibadilika. Huwa nacheka Ruto sana eti anataka kuwa rais 2022. Ata Joho anaota mchana. Moi aliponyoka tu bahati mbaya na hiyo kitu lakini hakustahili kuwa rais. That is my opinion it may be correct or wrong but that is what I think.
Calls for a divorce have started flying about and Kenyas Constitution allows Kenyans who feel disgrantled and No longer want to be Kenyans sign petition for Referendum and Lately Opposition Advisors have started floating the idea around
![]()
![]()
![]()
Also Sakaja and Sonko Took Their Nairobi win to their offices![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app
don't be mad at me son am only exposing your ignorance naOoh samahani nilikuwa nimesahau. Mombasa yako inacontribute 40% to Kenya's GDP na Nairobi only 10%. Umefurahi Sasa. Hivyo ndio ulikuwa unataka kusikia nikisema?
Enzi za kwamba mkwaruzano wa Kenya ni wa hizi kabila mbili umepitwa na wakati, Wakenya kutoka kwa jamii zingine waliamka kitambo na wapo mbele sana kwenye kudai nafasi zao. Ni vigumu kuongoza Kenya kwa kutegemea kabila mbili au tatu.
Kuna watu wamemchagua Uhuru bila kuzingatia ukabila, ukiondoa baadhi ya Wakenya wa mkoa wa kati na wale wa bonde la ufa, wengine wote waliomchagua walifanya hivyo kwa kuzingatia sera na maendeleo na jinsi alivyojinadi. Hiyo ramani inayoigawa Kenya wanasahau kwamba kuna gatuzi walizo orodhesha kama za kwao lakini zilimpigia kura Uhuru na kwamba magavana wao wote ni wa Jubilee, kwa mfano hizi hapa KAJIADO, KWALE, LAMU, NAROK
Kenya ya leo hauwezi kuigawa kihivyo, sote tumehusika katika kuijenga hivyo lazima tuishi pamoja, hata kama kwa lazima. Ushindi wa rais Uhuru japo kuna baadhi ya kura alipata kwa misingi ya kikabila, lakini kuna mamilioni waliompigia kwa kuzingatia maendeleo, hivyo hizi siasa za kuigawa nchi ndio zinaendelea kumpotezea umaarufu Raila Odinga. Kuna Wakenya kutoka ngome zake ambao wamechoka na siasa za mgawanyiko, utakuta kuna Wajaluo, Waluhya na Wakisii ambao hawataki kabisa kusikia siasa za kihivyo na wapo tayari kujadili sera.
sisemi kwa ubaya lakini wewe ni mnafiki mkubwa........or either you have just decided to burry your head in the sand
Nakubaliana na wewe hapoEnzi za kwamba mkwaruzano wa Kenya ni wa hizi kabila mbili umepitwa na wakati, Wakenya kutoka kwa jamii zingine waliamka kitambo na wapo mbele sana kwenye kudai nafasi zao. Ni vigumu kuongoza Kenya kwa kutegemea kabila mbili au tatu.
Kuna watu wamemchagua Uhuru bila kuzingatia ukabila, ukiondoa baadhi ya Wakenya wa mkoa wa kati na wale wa bonde la ufa, wengine wote waliomchagua walifanya hivyo kwa kuzingatia sera na maendeleo na jinsi alivyojinadi. Hiyo ramani inayoigawa Kenya wanasahau kwamba kuna gatuzi walizo orodhesha kama za kwao lakini zilimpigia kura Uhuru na kwamba magavana wao wote ni wa Jubilee, kwa mfano hizi hapa KAJIADO, KWALE, LAMU, NAROK
Kenya ya leo hauwezi kuigawa kihivyo, sote tumehusika katika kuijenga hivyo lazima tuishi pamoja, hata kama kwa lazima. Ushindi wa rais Uhuru japo kuna baadhi ya kura alipata kwa misingi ya kikabila, lakini kuna mamilioni waliompigia kwa kuzingatia maendeleo, hivyo hizi siasa za kuigawa nchi ndio zinaendelea kumpotezea umaarufu Raila Odinga. Kuna Wakenya kutoka ngome zake ambao wamechoka na siasa za mgawanyiko, utakuta kuna Wajaluo, Waluhya na Wakisii ambao hawataki kabisa kusikia siasa za kihivyo na wapo tayari kujadili sera.
Hii ni uhaini, hatari sana, mbegu inazidi chipua, Mombasa republic, sasa hao wengine, chonde chonde na wale wasomali kule north.
Katiba bora afrique ni aje aje mabudapest, toothless.
Alafu muanze kumsingizia Magufuli kwa hili tena.
MK254 na majamaa zako madarakani, mjitafakari.
Sisi miafrika fikra kama hizi ndizo zimefanya tuwachwe mbali sana.The mentality ya kubana academic freedom and open mindedness -hizo ndizo fikra zilizotufanya tusiwe na ujasiri kuvuka bahari hindi ku-explore Indonesia,kuunda herufi zetu tujielimishe na kuunda ndege ama nyumba zilizoimarika.Kila maendeleo wazee wangekwambia ni hatari ni upotovu na kadhalika.Hii ni uhaini, hatari sana, mbegu inazidi chipua, Mombasa republic, sasa hao wengine, chonde chonde na wale wasomali kule north.
Katiba bora afrique ni aje aje mabudapest, toothless.
Alafu muanze kumsingizia Magufuli kwa hili tena.
MK254 na majamaa zako madarakani, mjitafakari.
We ni mfunny sana. Unaniattack personally badala ya kuattack idea yangu ya kijinga kama unaona ni ya kijinga. Nimesoma article zaidi ya tatu kwa internet ambazo zinasupport my position. However I know GDP za counties bado hazijakuwa measured. I think it's about time zikuwe measured ndio tujue ukweli. Article ya 60% ndio hii hapa na barua pepe ya mwandishi iko Hapo mwisho, mwandikie kisha muulize ametoa wapi hiyo 60%. Article yenyewe ni ndefu lakini soma ndio uelewe. Ukitaka ingine niambie nikupe.don't be mad at me son am only exposing your ignorance na
Tangu lini mombasa ikawa yangu........hata huna aibu kusema nairobi contributes 50% of Kenya's GDP.Ignorant people like you make me sick.In this day and age of information everywhere I would expect you to be more knowledgeable
Article yenyewe ni ndefu. Wacha ni-highlight hio part ya 60%don't be mad at me son am only exposing your ignorance na