Peoples Republic Of Kenya v Central Republic of Kenya

Peoples Republic Of Kenya v Central Republic of Kenya

Katiba mpya na bora Africa ndio inatoa uhuru wa watu kujadili chochote, wana haki ya kuwaza wanachokitaka bila kuingiliwa.

Sio kama kwenu huko mnaishi kwa uwoga uwoga maana viongozi wanafanya kila kitu kwa kiki. Nimesoma sehemu huko Tanzania kwamba mwalimu amefungwa jela kisa hajui jina la mkuu wa wilaya. Yaani mna ubabaishaji mwingi sana nyie.

Watu kuhoji au kutaka migawanyiko ni jambo la kawaida duniani hata Marekani pamoja na wao kujinadi kuwa na demokrasia bora dunia yote lakini pia kuna baadhi yao wanataka wajitenge.

Unafaa kuruhusu mazungumzo ya kila aina, nyie mlipiga chini mchakato wa katiba kisa Watanzania walianza kuhoji muungano, wengi walitaka serikali tatu kwamba Tanganyika itambulike, ghafla mkapiga chini mazungumzo.
Tatizo huwa unafumbia macho alafu unajaribu kulinganisha dosari letu na nyinyi, ili kujustify your point, hatufanani sisi. Ohoo, Zanzibar wanasumbua sababu lilikuwa taifa na ni ka ardhi mbali na Tanganyika, but same people within Kenya mainland kutaka kujitenga ni issue kubwa sana jamaa, usilisukumie chini ya uvungu kirahisi hivyo kwa kujilinganisha na story ya wakuu wa wilaya na walimu wa bongo, story enyewe inaweza ikawa urongo.
Narudia tena, jitafakarini.
 
Sisi miafrika fikra kama hizi ndizo zimefanya tuwachwe mbali sana.The mentality ya kubana academic freedom and open mindedness -hizo ndizo fikra zilizotufanya tusiwe na ujasiri kuvuka bahari hindi ku-explore Indonesia,kuunda herufi zetu tujielimishe na kuunda ndege ama nyumba zilizoimarika.Kila maendeleo wazee wangekwambia ni hatari ni upotovu na kadhalika.
Fikra zipi, tuwachwe na nani, enda marekani pale usiheshimu wimbo wa taifa, au jaribu kutoa Jimbo mojawapo kwenye USA.
Academic freedom and open mindedness ought to have boundaries man.

Lol angalia watu wanapinga as if you gave a say in this

Well let me tell you

You dont and Never will have a say in this only the affected tribes will have a say in this anyway voice your opinions however hard you want ...jua tu Kura yako haita hitajika hapa only the affected tribes will!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lol tumutu tunazusha nikama mnaelewa lol

Kura zenu hazitahitajika hapa NO TYRANNY OF NUMBERS HERE ......GET THAT DEEP INTO YOUR BRAINS HATA UPINGE AJE .....UR OPINIONS DONT MATTER MY FREN...EITHER U PEOPLE CHOSE TO ADRESS THE INJUSTICES IN KENYA OR GET WHAT YOU HAVE ....

TRUST HII KITY IKISHIKA MOTO NEP WILL BE OUT

MOMBASA WILL BECOME A CITY STATE LIKE SINGAPORE

AND THERE WILL BE ANOTHER WESTERN KENYA REPUBLIC...

MLIKUWA MNADHANI MTA DEPLOY POLISI KISUMU KILA WAKATI BILA AN EQUAL MEASURE OF RESPONSE BURY YOUR IGNORANCE AS DEEP AS YOU WANT BUT MOST KENYANS ARE TIRED OF CORRUPTION ......ALAFU MNAANZA TYRANNY OF NUMBERS MKILEMEWA!!!! FOH

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Really shocked with these silly comments from Kenyans, halafu mnabariki as if ni jambo jema au la kawaida kabisa kwenu.

Guys, you need a leader who will unite you all, and stand as one nation,
Your leaders have failed you miserably

Disappointed.

For how many years now has biafra championed for a secession from Nigeria??
How many years has sahrawi been championing for a secession from Morocco??
Kenya was not made of small states brought together to form a country like the likes of Nigeria. On what basis would they push for a secession??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo huwa unafumbia macho alafu unajaribu kulinganisha dosari letu na nyinyi, ili kujustify your point, hatufanani sisi. Ohoo, Zanzibar wanasumbua sababu lilikuwa taifa na ni ka ardhi mbali na Tanganyika, but same people within Kenya mainland kutaka kujitenga ni issue kubwa sana jamaa, usilisukumie chini ya uvungu kirahisi hivyo kwa kujilinganisha na story ya wakuu wa wilaya na walimu wa bongo, story enyewe inaweza ikawa urongo.
Narudia tena, jitafakarini.
Ulianza kwa kubeza kaatiba yetu, nikakuambia ndio inawawezesha Wakenya kuwa na uwezo wa kuhoji chochote ikiwemo wao kutaka kujitenga, na hili ni la kawaida kwenye hata mataifa yalioendelea sio kama kwenu mnakoishi kama jela, mara Tundu Lissu akihoji ndege mnamsweka ndani na kumpima mkojo.
 
Really shocked with these silly comments from Kenyans, halafu mnabariki as if ni jambo jema au la kawaida kabisa kwenu.

Guys, you need a leader who will unite you all, and stand as one nation,
Your leaders have failed you miserably

Disappointed.

Sent using Jamii Forums mobile app
Disappointed of what, wanafiki tu nyie, kwanza hili ndio najua mnapenda sana kusikia misukosuko ya kihivi kwetu. This is freedom of expression enshrined in our constitution.

But come to think of it, seem to support the idea, such a division might bring peace and understanding in our country forever, some marriages can't just work.
 
We ni mfunny sana. Unaniattack personally badala ya kuattack idea yangu ya kijinga kama unaona ni ya kijinga. Nimesoma article zaidi ya tatu kwa internet ambazo zinasupport my position. However I know GDP za counties bado hazijakuwa measured. I think it's about time zikuwe measured ndio tujue ukweli. Article ya 60% ndio hii hapa na barua pepe ya mwandishi iko Hapo mwisho, mwandikie kisha muulize ametoa wapi hiyo 60%. Article yenyewe ni ndefu lakini soma ndio uelewe. Ukitaka ingine niambie nikupe.

The trouble with Nairobi
0 0
0 0
0
Kenya's capital Nairobi. FILE | NAIROBI
MUTHOKI MUMO
Thursday, February 21 2013 at 09:07
comment
Jane Weru, a lawyer who litigates on behalf of the urban poor, describes Nairobi as one would an especially confident young woman.
“Nairobi is edgy,” she begins. “It’s a bit brash. It’s not shy. It’s young and it is a city on the go.”
If Nairobi is a young woman, then she is coming of age... and the suitors have noticed, because the narrative of the city’s transformative growth is one that currently permeates briefs circulated by investment analysts.
It is a narrative that is woven into the strategies of multinationals expanding into new markets, and one that carefully laces the speeches of C-suite executives trooping to Kenya to woo the government and its people.
However, Nairobi does have a dark side. It is a city of stark inequalities with serious infrastructural challenges that may yet stall its rise to the top.
“Nairobi is also a paradox,” says Ms Weru. “Abject poverty co-exists with near First World luxury. The city’s expansion may just push these extremes farther apart.”
The importance of Nairobi to the national and regional economy and its failings are by no means unique phenomena.
Financial services firm Citi last year commissioned the Economist Intelligence Unit (EIU) to carry out a survey of 120 cities globally, assessing their competitiveness as investment destinations.
The resultant report noted that middle-tier cities in emerging markets — once considered too risky — may now steal the show from European cities that are stuck in economic doldrums and facing the challenge of infrastructure fatigue.
“Already, global business is beginning to plan strategy from a city, rather than a country, perspective,” EIU said.
In China, for instance, megacities such as Beijing, Guangzhou, and Shanghai compete with each other for investors.
In this new economic order, where the city rises in status above the country, African, Asian, and Latin American cities are leap-frogging the smog and coal industrialisation of the old world to carve themselves new niches.
They are choosing to invest billions to excel in narrow fields such as financial services, technology, or business process outsourcing (BPO).
Real estate
Over the past two months, Microsoft, IBM, and Google top brass have made their way to Nairobi. In public forums and university lectures, they extolled the virtues of the city, justifying their need to suddenly turn to Kenya for profits.
“Nairobi has emerged as a serious tech hub and may become Africa’s leader,” noted Google chairman Eric Schimdt in a blog post following his visit.
One of the factors behind the city’s rise is basic geography. In 1890s, when Nairobi was set up as a railway depot, its central location was a major selling point. This advantage has not waned over time.
Within the regional context, Nairobi is prime real estate. It is connected to a coastal harbour and is within a four-hour flying distance of most African destinations.
Technology has been adopted wholeheartedly, increasing efficiency in communication. For any multinational looking to extend its tentacles across the continent, the city is a entry point.
“When travelling across the continent, I sometimes find it easier to come to Nairobi, then catch an onward flight,” says Kenya Private Sector Alliance (Kepsa) chairman Patrick Obath. “We are connected to almost all African destinations. Convenience cannot be over-emphasised for business.”
Beyond the geographical specifications, companies have also been attracted by the numbers.
The capital boasts economic growth rates above four per cent, more than most European cities can dream of currently.
In its recent analysis of the growth potential of African cities, the MasterCard Foundation ranked Nairobi sixth in the continent based on such indicators as middle-class-fuelled consumption, population growth, and contribution to gross domestic product (GDP).
Nairobi already contributes about 60 per cent of Kenya’s GDP. The cherry on top is the availability of a ready and growing workforce. Over the past decade, adults have outnumbered children in Kenya.
By 2050, the World Bank estimates, the current youthful population will see Kenya’s workforce exceed the number of dependants by two to one, providing enormous opportunity for wealth creation.
Much of this workforce will be concentrated in urban areas. Between 1999 and 2009, Kenya’s urban population went from 3.7 million to 12.4 million, with Nairobi accounting for about 3.1 million urban dwellers.
The World Bank reports that Kenya’s cities and towns are gaining 750,000 inhabitants each year and data show that migration flow is mostly to and from Nairobi.
However, it is impossible to escape the fact that the city’s outlook is not completely rosy. Millions of rural migrants coming to Nairobi will end up in slums.
Informal settlements
Currently, it is estimated that about 60 per cent of the city’s inhabitants live in informal settlements. Nairobi’s quick rise may only serve to perpetuate the inequities of a city that has been fragmented since its inception.
In a 2010 article titled Grey Nairobi: Sketches of Urban Socialites, Belgian anthropologist Danielle de Lame argues that Nairobi’s inequalities are deeply rooted in its history.
The city was created, first and foremost, to meet the economic needs of colonial development. Residential areas were developed to fit the segregationist philosophy of the government.
White-only and Indian-only estates came up with utilities and services of corresponding quality.
When the Africans migrated to Nairobi, the “city was clearly not meant for them” and they were relegated to informal settlements. They could not own Crown land.
More than 100 years later, the old racial boundaries are slowly dissipating, with the nouveau-riche invading the old white-only neighbourhoods or setting up their own exclusive settlements through rampant property development.
However, many of the old informal settlements still exist. Nairobi is still a fragmented city, only now the yawning gap is between the haves and the have-nots.
Inhabitants in each of these segments of the city have massively different experiences and rarely interact.
“Each person concocts and gulps down the cocktail of his own wanderings — a personal Nairobi,” writes de Lame.
This economic fragmentation and social inequity has profound implications for the growth of Nairobi.
The fact that century-old land issues have not been resolved point to an acute inability to plan the city properly.
Poor city planning has been associated with mediocre public service utilities in health, transport, and education.
The city’s infrastructure is heavily weighed down. Social and economic inequity may also coincide with insecurity and instability.
The confluence of these factors conspires to lower the living standards of Nairobi. Although the economy may be expanding, the city’s social challenges make it difficult to attract, develop, and keep the best talent, a significant handicap in the fierce competition for investors.
“In human capital, we have a serious problem. Our educational institutions are not producing the kind of rigorous professionals we need to go toe-to-toe with the best international talent. In areas where our training does exceed global standards, the professionals are all too easily poached to move on to other cities,” says Mr Obath.
Living standards
According to the EIU, living standards are more than just about money and good schools. In order to attract and keep the world’s most talented individuals, Nairobi needs to provide cultural stimulation to rival London, Hong Kong, and Paris.
Nairobi also loses points on governance. Companies coming into the city often point to corruption as one of the beasts they hope to slay.
An online database that tracks corruption in Kenya, ipaidabribe.com, is currently ranking Nairobi as the most corrupt urban centre in Kenya.
In its 2012 Ease of Doing Business Report, the International Finance Corporation (IFC) claims that it is easier to start up a business in the border town of Malaba than in Nairobi due to local authority bureaucracy.
Partly for scoring low in liveability and governance indices, EIU cautions that Nairobi and other growing African cities may fail to overtake the old political powerhouses of Europe and the economic giants that have over the past three decades sprouted in Asia. In this survey, Nairobi is ranked 115 out of 120 cities for overall competitiveness.
While acknowledging these shortcomings, government officials insist that they are being addressed comprehensively as part of the country’s development road map, Vision 2030.
“We have been aggressively investing in infrastructure,” says Vision 2030 director Mugo Kibati. “We have built roads and we have completed the first phase of the commuter rail network.”
Last year, the Syokimau Railway Station opened its doors. It is the first phase of a city-wide rail network that is expected to lower congestion in the central business district.
By 2016, the city is expected to have rehabilitated and upgraded power lines, thus eliminating the more-than-frequent blackouts.
Kenya has also earmarked about Sh15 billion to invest in upgrading slums across the country.
One of the objectives of this project is to regulate land tenure in informal settlements. The money will also go into installing basic utilities.
Once fully implemented, the Nairobi Metropolitan Masterplan will impose the kind of sound urban planning that has evaded city officials for more than a century while new legislation on the built environment will crack down on illegal developments.
Mr Kibati further argues that the country’s planned devolution will have an indirect but positive impact on Nairobi’s informal settlements.
“Today, almost everyone troops to Nairobi after school looking for opportunities. Infrastructure growth cannot keep up with population growth. However, with devolution, there will be urban centres offering opportunities akin to those found in Nairobi in almost every county,” he says.
There have been concerns that this expected reverse migration may simply serve to transfer Nairobi’s slums to the rest of the country.
In some areas, the government has already started taking steps to prevent such an occurrence.
A 10-kilometre radius of land has been ear-marked for controlled development around the planned Konza Technocity. However, this may not be enough.
“Controlled development will not work. As long as there are people working in these cities for less-than-minimum wages, slums and informal settlements will develop. Much of Kenya can still not afford to live in the middle-class utopia we are developing,” says Ms Weru
mumumo@ke.nationmedia.com
0 0
0 0
0
MORE ARTICLES
Angola's secretive leader heads towards exit
Jose Eduardo dos Santos poised to step down for his successor
FULL STORY
Orania, and Afrikaners’ dream of a city of their own
Town’s flag bears colours reminiscent of South Africa’s apartheid-era
FULL STORY
wait...so what's your final stand 50% or 60%.And you believe such a claim without any statics to back it up.come on didn't they ever teach you in school not to believe everything you read on the internet
 
Lol tumutu tunazusha nikama mnaelewa lol

Kura zenu hazitahitajika hapa NO TYRANNY OF NUMBERS HERE ......GET THAT DEEP INTO YOUR BRAINS HATA UPINGE AJE .....UR OPINIONS DONT MATTER MY FREN...EITHER U PEOPLE CHOSE TO ADRESS THE INJUSTICES IN KENYA OR GET WHAT YOU HAVE ....

TRUST HII KITY IKISHIKA MOTO NEP WILL BE OUT

MOMBASA WILL BECOME A CITY STATE LIKE SINGAPORE

AND THERE WILL BE ANOTHER WESTERN KENYA REPUBLIC...

MLIKUWA MNADHANI MTA DEPLOY POLISI KISUMU KILA WAKATI BILA AN EQUAL MEASURE OF RESPONSE BURY YOUR IGNORANCE AS DEEP AS YOU WANT BUT MOST KENYANS ARE TIRED OF CORRUPTION ......ALAFU MNAANZA TYRANNY OF NUMBERS MKILEMEWA!!!! FOH

Sent using Jamii Forums mobile app
who is agitating for this secessionist thing? people can not secede simply because raila did not win the election!! you have to tell people what benefit one stand to benefit ,but again these people who are agitating for this thing have invested heavily in Nairobi ,tell me mudavadi's business that is based in western,or raila? ,and they can not afford to lose what they have worked for because they did not win the election. even luos themselves won't vote that......
 
And yesterday ndii clearly said it wasnt Railas request.....but you are soo blinded by tribalism and hate for Raila you cant see how un equal your country is getting by the day.....you will wake up one morning to discover 4 republics in Kenya ......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Article yenyewe ni ndefu. Wacha ni-highlight hio part ya 60%

The capital boasts economic growth rates above four per cent, more than most European cities can dream of currently.
In its recent analysis of the growth potential of African cities, the MasterCard Foundation ranked Nairobi sixth in the continent based on such indicators as middle-class-fuelled consumption, population growth, and contribution to gross domestic product (GDP).
Nairobi already contributes about 60 per cent of Kenya’s GDP. The cherry on top is the availability of a ready and growing workforce. Over the past decade, adults have outnumbered children in Kenya.

Top Richest counties in Kenya according to world bank: From Richest to Poorest of all 47 counties
By Elvis Nyakang'i / in Best counties / on Thursday, 12 Nov 2015 09:30 AM / 0 Comment / 4053 shares
Top Richest counties in Kenya according to world bank: From Richest to Poorest of all 47 counties.
World Bank senior authors Tom Bundervoet, Laban Maiyo and Apurva Sanghi just released statistics of the top richest counties according to GDP per capita. Kiambu is ranked as the richest county in Kenya.
Although Nairobi has the highest overall wealth it is not the top richest county in Kenya because of its high population. This implies that the dependence level is higher than supply.
Mombasa and Nairobi are also not among the top richest counties in Kenya because they have zero agricultural GDP as per the 2009 census classifications.
Top Richest Counties in Kenya 1-47
1. Kiambu: $1,785
2. Nyeri: $1,503
3. Kajiado: $1,466
4. Nakuru: $ 1,413
5. Kwale: $1,406
6. Laikipia: $1,226
7. Muranga: $1,090
8. Nairobi: $1,081
9. Mombasa: $935
10. Machakos: $913
11. Kilifi: $909
12. Kirinyaga: $900
13. Tharaka Nithi: $838
14. Taita Taveta: $769
15. Tana River: $742
16. Uasin Gishu: $643
17. Kisumu: $625
18. Embu: $616
19. Lamu: $579
20. Vihiga: $562
21. Meru: $533
22. Garissa: $460
23. Kericho: $454
24. Kakamega: $445
25. Makueni: $417
26. Nyandarua: $415
27. Marsabit: $400
28. Isiolo: $397
29. Kisii: $384
30. Kitui: $373
31. Wajir: $368
32. Nandi: $367
33. Narok: $361
34. Bungoma $354
35. Trans Nzoia $349
36. Siaya: $340
37. Nyamira: 339
38. Homa Bay: $324
39. Baringo: $322
40. Busia: $319
41. Turkana: $317
42. Migori: $314
43. West Pokot: $307
44. Samburu: $298
45. Elgeyo Marakwet: $293
46. Bomet: $282
47. Mandera: $267
NOTE: The figures above are based on GDP per capita when population is controlled.

use this per capita numbers provided by the world bank and the population of each county to calculate the GDP of each county.you will find out that nairobi is nowhere near the 50 or 60% mark you claim
 
And yesterday ndii clearly said it wasnt Railas request.....but you are soo blinded by tribalism and hate for Raila you cant see how un equal your country is getting by the day.....you will wake up one morning to discover 4 republics in Kenya ......

Sent using Jamii Forums mobile app
you have said more than enough to embarrass yourself for a whole week.....you can call it a day now
 
And yesterday ndii clearly said it wasnt Railas request.....but you are soo blinded by tribalism and hate for Raila you cant see how un equal your country is getting by the day.....you will wake up one morning to discover 4 republics in Kenya ......

Sent using Jamii Forums mobile app
Cmon! We know Raila isnt that crazy enough to call for seccesion. Its the usual mad men swimming in Raila love! What do u mean blinded by hate for Raila? Offcourse we hate him thats why he lost the elections! Dont try to tell me he shouldnt be hated. He is no messiah just a greedy politician like the rest of them! He failed in the Office of the Prime minister, what did he do with kazi kwa vijana cash? He ate it!
 
Kitu moja ninachokijua ni kwamba Odinga hataachia Kenya kiulaini bila kusababisha machafuko.

Haya mambo ya kwenda mahakamani ni kiini macho tu lakini nina uhakika lazima anasuka shughuli nyingine.

Japo amekosa kuelewa kwamba ngome zake nyingi zilimpa kisogo, Wamaasai, Wakisii n.k. wengi wao hawakumpa kura sasa anapotaka kuigawa nchi ataishia kuwatenga watu wa kabila lake la Wajaluo.

Ningemshauri aachie nchi na Wakenya maana kuna kizazi kipya cha watoto wetu ambao hawajui uhasama wa familia ya Odinga na Kenyatta ambao umesababishia nchi matatizo makubwa. Kizazi hiki hakina muda huo na hata hakijui uhuru upi ulipiganiwa wala nini.
Wao wanataka ajira na sera za kuboresha nchi.
Viewing Kenya politics as mortal combat between Kenyatta and Odinga dynasty is simplistic. Issues run much deeper hasa ardhi.
 
EA community bogus itaongeza wanachama zaidi. Welcome to my world.
 
Top Richest counties in Kenya according to world bank: From Richest to Poorest of all 47 counties
By Elvis Nyakang'i / in Best counties / on Thursday, 12 Nov 2015 09:30 AM / 0 Comment / 4053 shares
Top Richest counties in Kenya according to world bank: From Richest to Poorest of all 47 counties.
World Bank senior authors Tom Bundervoet, Laban Maiyo and Apurva Sanghi just released statistics of the top richest counties according to GDP per capita. Kiambu is ranked as the richest county in Kenya.
Although Nairobi has the highest overall wealth it is not the top richest county in Kenya because of its high population. This implies that the dependence level is higher than supply.
Mombasa and Nairobi are also not among the top richest counties in Kenya because they have zero agricultural GDP as per the 2009 census classifications.
Top Richest Counties in Kenya 1-47
1. Kiambu: $1,785
2. Nyeri: $1,503
3. Kajiado: $1,466
4. Nakuru: $ 1,413
5. Kwale: $1,406
6. Laikipia: $1,226
7. Muranga: $1,090
8. Nairobi: $1,081
9. Mombasa: $935
10. Machakos: $913
11. Kilifi: $909
12. Kirinyaga: $900
13. Tharaka Nithi: $838
14. Taita Taveta: $769
15. Tana River: $742
16. Uasin Gishu: $643
17. Kisumu: $625
18. Embu: $616
19. Lamu: $579
20. Vihiga: $562
21. Meru: $533
22. Garissa: $460
23. Kericho: $454
24. Kakamega: $445
25. Makueni: $417
26. Nyandarua: $415
27. Marsabit: $400
28. Isiolo: $397
29. Kisii: $384
30. Kitui: $373
31. Wajir: $368
32. Nandi: $367
33. Narok: $361
34. Bungoma $354
35. Trans Nzoia $349
36. Siaya: $340
37. Nyamira: 339
38. Homa Bay: $324
39. Baringo: $322
40. Busia: $319
41. Turkana: $317
42. Migori: $314
43. West Pokot: $307
44. Samburu: $298
45. Elgeyo Marakwet: $293
46. Bomet: $282
47. Mandera: $267
NOTE: The figures above are based on GDP per capita when population is controlled.

use this per capita numbers provided by the world bank and the population of each county to calculate the GDP of each county.you will find out that nairobi is nowhere near the 50 or 60% mark you claim
Poa wacha nitumie economics tuone ukweli. lakini let me say that nimecalculate kwa kichwa na naona those world bank figures are a joke. Inasema ati GDP ya Nairobi ni $4 billion (yaani 4 billion dollars).
Of course that is a big joke.
Nimecalculate hivi:
GDP= GDP per capita * population size.
kwa hivyo:

Assuming Nairobi iko na 4 million people then:
GDP ya Nairobi = ($1, 081 * 4, 000, 000)= $4.32 billion.
(which is a big joke.)

Finally calculating Nairobi GDP as a percentage of Kenya's GDP (assuming Kenya's gdp is $70 billion)
Nairobi/Kenya (GDP) = $3.24 billion/$70 billion =0.046. That is 4.6 %. Uniambie kama hio si kurogwa. Nairobi haiwezi kuwa na 4% GDP ya Kenya.
Ata tuki assume Kenya ina GDP ya $50 billion bado tunapata figure ya 6%.
Hebu cheki:
$3.24 billion/$50 billion = 0.064. That is 6.4 %. Uniambie kama hio si kichaa.
Many people don't question world bank figures but it's not good to accept everything. Unless nimefanya mistake, kama ni hivyo then point out the mistake otherwise kaa ukijua hizo figures aren't accurate.
 
Mababu zetu walikula kiapo msituni, wakapambana kwenye vita na mkoloni, vita ambavyo mzungu alitumia hadi ndege za kivita kulipua sehemu za misitu kando ya mlima Kenya! Cha ajabu babu zenu ndo walikuwa mahausiboi, mbwa wa wakoloni na mainfoma na matajiri wakupindukia! Sasa baada ya Matigari ma Njiruungi kutoka msituni mambo yamebadilika ndo imeanza kuwauma?

Hao Mbwa wa Wakoloni Muzungu ni chadema!
 
Even in religion, the one who questions his own religion and the purpose of his religion almost always ends up bieng the true believer.... No one should just blindly be patriotic, we must ask these questions as Kenya's, we must be willing to think of the idea of what if we did this or that, what would the s scenario look like.... Only then can we then come back more stronger with more resolve to make things much better than the current situation
 
Back
Top Bottom