Rich Forever
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 467
- 469
Mourinyo ana mechi mbili zijazo ngumu sana totenam na chelsea
[emoji1] [emoji1]Japo mimi ni Arsenal naunga mkono hoja.
Nasubiri nione atafanya mind game zipi kwa Tottenham.Mourinyo ana mechi mbili zijazo ngumu sana totenam na chelsea
kwa totenam akijitahidi atapata sareNasubiri nione atafanya mind game zipi kwa Tottenham.
kwa totenam akijitahidi atapata sare
Ligi ni kama marathon, ubingwa huja sio kwa kuanza vizuri ligi bali ni jinsi gani utaweza kumaliza ligi. Bado mapema sana kumpa City Ubingwa.
Duh mkuu na wewe huku upo?Tukutane mwezi wa 5 mwakani majibu yote yatakuwa wazi...
post saved!!
Bingwa wa ndondo cup labdaNdiye bingwa...wa msimu huu
Uchambuzi ma shabiki wa united huuUkipitia coment za watu wengi ni wale walio na chuki kwa mourinho sasa mtu anakwambua akijitahid kwa spurs anapata sare kama mzuli huyo spurs kwa nn asiongoze lig wanasahau kwamba lig ni ndefu mpishano upo hata pep kaongea kwamba kipigo kipo tu toka lig ianze hajapoteza key player wake kwa majeruh timu ipo kwa silva,kdb na fernandinho subir wapotee hao tuone akichomoka ndo utajua kuwa hakuna shida
Na uhame kabisaMAN CITY akibaba EPL nahama TANZANIA,naenda kwa prof./jenerali JOSEPH KONYI.