Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Ligi ni kama marathon, ubingwa huja sio kwa kuanza vizuri ligi bali ni jinsi gani utaweza kumaliza ligi. Bado mapema sana kumpa City Ubingwa.

Ukipitia coment za watu wengi ni wale walio na chuki kwa mourinho sasa mtu anakwambua akijitahid kwa spurs anapata sare kama mzuli huyo spurs kwa nn asiongoze lig wanasahau kwamba lig ni ndefu mpishano upo hata pep kaongea kwamba kipigo kipo tu toka lig ianze hajapoteza key player wake kwa majeruh timu ipo kwa silva,kdb na fernandinho subir wapotee hao tuone akichomoka ndo utajua kuwa hakuna shida
 
Uchambuzi ma shabiki wa united huu
 
kocha guardiola yupo vizuri sana wakuu, timu inacheza soka lenye mvuto sana, pasi kwa wingi , tunamiliki mpira na goli za kutosha
 
Back
Top Bottom