Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!

Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,

watz ndio vitu mnasemanga hamuna hata uwezo wa kufanza analysis kidogo. unasema kitu based on emotions. ndo maana munashindwanga. hata kipindi ya xmas haijakaribia mtu ako na maona kwamba Man city yu bingwa. wise up man!
 
Ligi bado changa, hata Liverfools wanaweza kuwa mabingwa japo ni jambo la kuchekesha kidogo!
 
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!

Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,

Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa jamiiforums kamwe

kamwe ndio nini? au ulitaka kusema milele? ok here is how the heading should read:

Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa jamiiforums milele
 
Mtaishi maisha ya tabu sana Safari hii
Mliicheka Real Madrid ilipo kua inabadilisha makocha Kama bukta kisa uepo wa pep guadiola akiwa barca, sasa ni zamu yenu na cjui mtawaleta makocha gani WA kumtingisha pep guadiola pale epl, Safari hii mpende msipende lazma muite maji mmah! Huyu ndo kocha wa dunia habahatishi kila anachokifanya ameshakifanyia utafit! One love Manchester City chama langu kila la kheri katika safari ya ubingwa 2017-2018 !!!!

Asipo beba ubingwa najitoa jamiiforums.na.sitakanyaga tena hapa,
Guardiola kubeba ama kutobeba epl kuna uhuusiano gani naww kuwepo Jamiii Forum?!!!
 
Kuwa na akiba ya maneno mkuu.

Ila kwangu bora Huyu achukue ubingwa wa epl kuliko kuchukuliwa na Mourinho
 
kocha guardiola yupo vizuri sana wakuu, timu inacheza soka lenye mvuto sana, pasi kwa wingi , tunamiliki mpira na goli za kutosha
Na hilo ndio litamfanya apigwe na arsenali, hakuna timu ya EPL inayocheza draft iliyowahi kumsumbua Arsenali, labda kama siku hiyo atacheza mpira wa kutafuta magoli tu vinginevyo sahau kuhusu ushindi.
 
EPL sio bundesliga au laliga, huku kuna timu 20 na zote zinautaka ubingwa!

Jidanganyeni sasa eti man city ni bingwa hasubui hivi
 
Back
Top Bottom