Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Pep Guadiola asipobeba ubingwa 2017/2018 EPL najitoa JamiiForums kamwe

Sasa, mzee what's the logic hapo....
Ukijitoa what is it related to mancity
Fikiria tofauti
 
mwambie PEP hapo EPL kulimshangaza msimu wake wa kwanza alitoka kapa bila hata ya kombe kitu ambacho hakijawahi kumkuta katika maisha yake yote ya ukocha so atarajiwe kushangazwa tena
Labda ashangazwe na penzi la bi mkubwa wako
 
Wewe hauna lolote, umeshaona upepo ndio unaongea hivyo leo, mbona hukutabiri hilo wakati epl inaanza August mwaka jana! Hauna maana kabisa wewe.
 
Pointi 16 ahead of Man United. maana yake Man city apoteze mechi tano na draw moja wakati huo timu ya man united ambayo kimsingi huwezi hata kuibetia isifungwe hata mechi moja.

Natabiri na mimi kwamba Man City watatangaza ubingwa katika raundi ya 32 - 33
 
Back
Top Bottom