anaziraUmemsahau Zidane, mzee wa kujiachisha kazi.
Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeoHuyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.
Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.
KABLA HUJAFA NAKUPA MAUA YAKO
walikuwepo magwiji kabla yake kama Sir Alexander Chapman Ferguson,Rinus Michels ambaye ndio muasisi wa soka la tiktakaHuyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.
Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.
KABLA HUJAFA NAKUPA MAUA YAKO
Mfumo anaofundisha hauhitaji wachezaji wa "butua butua" kama huko ulikotaja.Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeo
Na yeye anatembele nyota ya timu kubwa zenye mafanikio tayri...na uwekezaji mkubwa wa pesaHuyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.
Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.
KABLA HUJAFA NAKUPA MAUA YAKO
Unataka kuniambia hakuna kocha aliyewahi kutimuliwa akiwa na hao wachezaji ghali (mfano pale Barcelona, Madrid,Bayern, Chelsea, nk). Mpeni heshima yake Pep.Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeo
Hatamaliza msimu.Apewe spurs tuone kama atafikisha miezi 6
Pep mwenyewe hakufanya cha maana pale Bayern na wchezaji ghali. Inawezekana walimtimua pale ila wakamtunzia heshima.Unataka kuniambia hakuna kocha aliyewahi kutimuliwa akiwa na hao wachezaji ghali (mfano pale Barcelona, Madrid,Bayern, Chelsea, nk). Mpeni heshima yake Pep.
Yap bayan walimwambia ujeruman Kuna identity yake ule Mpira sio culture yao apite hivi...wao Mpira ni VitaPep mwenyewe hakufanya cha maana pale Bayern na wchezaji ghali. Inawezekana walimtimua pale ila wakamtunzia heshima.
PEP ni kifupi cha PEPPER.Hivi Pep ndo kifupi Cha Joseph?