Pep Guadiora kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Huyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.

Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.

KABLA HUJAFA NAKUPA MAUA YAKO
 
Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeo
 
walikuwepo magwiji kabla yake kama Sir Alexander Chapman Ferguson,Rinus Michels ambaye ndio muasisi wa soka la tiktaka
 
Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeo
Mfumo anaofundisha hauhitaji wachezaji wa "butua butua" kama huko ulikotaja.

Mfumo huo una demand wachezaji wenye vipaji ambao ni ghali kuwapata. Umeelewa..!
 
Huyu jamaa toka Hispania ndiyo kocha pekee ambae hajawahi kufukuzwa kazi team zote alizopitia.

Identity ya mpira wake inajulikana kocha pekee anaefundisha kitu kinakonekana na kueleweka.

KABLA HUJAFA NAKUPA MAUA YAKO
Na yeye anatembele nyota ya timu kubwa zenye mafanikio tayri...na uwekezaji mkubwa wa pesa
 
Ndo kocha peke anayo tumia wachezaji gari wenye upewo mkubwa kuliko kocho yeyote.....hawezi kuenda Everton or southpton na akapata matokeo
Unataka kuniambia hakuna kocha aliyewahi kutimuliwa akiwa na hao wachezaji ghali (mfano pale Barcelona, Madrid,Bayern, Chelsea, nk). Mpeni heshima yake Pep.
 
Pep mwenyewe hakufanya cha maana pale Bayern na wchezaji ghali. Inawezekana walimtimua pale ila wakamtunzia heshima.
 
Yap bayan walimwambia ujeruman Kuna identity yake ule Mpira sio culture yao apite hivi...wao Mpira ni Vita
 
Hivi Pep ndo kifupi Cha Joseph?
PEP ni kifupi cha PEPPER.
Pepper ni neno la kihispaniola(la mtaani),likiwa na maana ya mtu alieshinda kila kitu na anauwezo wakukufanya ukashinda kila kitu....
rejea mara ya kwanza guardiola kuitwa PEP,ilikua mwaka gani na alifanya nini..
 
Back
Top Bottom