Pep Guardiola alikosea sana kwenda Manchester City

Hata hapa bongo mashabiki wake Ni vichalii vidogo vilivyoikuta timu mwarabu kashainunua.

Ulitaka washabikie timu gani sasa nyie ndo mnakuja kuwa watu wazima mnalazimisha watoto washabikie timu mnazozipenda nyinyi wakati vitu vinabadilika.

Wewe isingekua fergie ungeshabikia man utd ? Au isingekuwa wenger ungeshabikia arsenal?
Kuanzia 2000 up to now mashabiki wengi wanaongezeka kwenye hizi timu maana zenyewe ndo zipo on fire [emoji91] na zinachukua makombe ambazo ni chelsea, man city and Liverpool. Hizi man utd na arsenal zilikuwa on fire enzi zetu tukiwa madogo ndo maana tukachagua kuzishabikia

Vitu vinabadilika mzee kama wewe ulipenda kuwinda ndege utaona ndo best thing kufanya ukiwa mtoto, lakini kwa sasa best thing kwa watoto wa sasa ni kucheza playstation fifa fortnite na mengine ukiwaeleza kuwinda wanakuona huyu bushman wa wapi [emoji23][emoji23].
Waswahili wanasema “ kila masika na mbu wake”
 
City kama PSG tu plastic clubs.

AC Milan ina Mvuto kuliko city. That's why all talented player will no retire at city

Nitajie talent player walio retire kwa man utd na arsenal?
Ronaldo mwenywe talented player aliondoka , beckham na rooney wote waliondoka man utd .
Henry, fabregas, viera , van persie hawa wote ni arsenal captain lakini hawajaretire arsenal.
Kigezo cha kustaafu kwenye timu sio point kabisa, mpira unaonekana hujui kabisa even gaucho mwenywe hajastaafu na barca
 
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep

Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie

Cancelo aliwakimbia

Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia

Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City

Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo

Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini

Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
wewe hujui mpira kabisa
 
Ulitaka washabikie timu gani sasa nyie ndo mnakuja kuwa watu wazima mnalazimisha watoto washabikie timu mnazozipenda nyinyi wakati vitu vinabadilika.

Wewe isingekua fergie ungeshabikia man utd ? Au isingekuwa wenger ungeshabikia arsenal?
Kuanzia 2000 up to now mashabiki wengi wanaongezeka kwenye hizi timu maana zenyewe ndo zipo on fire [emoji91] na zinachukua makombe ambazo ni chelsea, man city and Liverpool. Hizi man utd na arsenal zilikuwa on fire enzi zetu tukiwa madogo ndo maana tukachagua kuzishabikia

Vitu vinabadilika mzee kama wewe ulipenda kuwinda ndege utaona ndo best thing kufanya ukiwa mtoto, lakini kwa sasa best thing kwa watoto wa sasa ni kucheza playstation fifa fortnite na mengine ukiwaeleza kuwinda wanakuona huyu bushman wa wapi [emoji23][emoji23].
Waswahili wanasema “ kila masika na mbu wake”
dah nimecheka sana
 
Nitajie talent player walio retire kwa man utd na arsenal?
Ronaldo mwenywe talented player aliondoka , beckham na rooney wote waliondoka man utd .
Henry, fabregas, viera , van persie hawa wote ni arsenal captain lakini hawajaretire arsenal.
Kigezo cha kustaafu kwenye timu sio point kabisa, mpira unaonekana hujui kabisa even gaucho mwenywe hajastaafu na barca
mkuu watu wa humu hawajui mpira!
 
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep

Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie

Cancelo aliwakimbia

Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia

Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City

Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo

Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini

Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
unasema hakuna anayewazungumza wakati huo unawazungumza.

Jesus is Lord & Savior
 
Kama kuna ka ukweli hivii.
 
Hivi kabla ya 2004, ulikua uaijua chelsea? Watoto watakaonza kushabikia mpira miaka hii hawatakua Manchester United au Arsenal, bali Manchester City.

United ilivuna mashabiki wengi waliozaliwa kuanzia miaka ya 90 kuja mbele sababu wakati wanaanza kushabikia mpira waliikuta united ndio timu inayofanya vizuri

Na kwa Man City as long as Pep stays, watavuna mashabiki wengi tuu
 
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep

Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie

Cancelo aliwakimbia

Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia

Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City

Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo

Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini

Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
Duniani Kila kiumbe na akili yako ,ndg una akili ya wadudu ila sio chungu maana Wana akili kukuzidi ni wadudu wengine.
 
Kocha mkubwa km Pep kwenda kufundisha timu ndogo ya manchester city ilikuwa matumizi mabaya ya akili

Hii manchester city haiwezi kukua wala kuwa miongoni mwa giants kwasababu wanabeba makombe ya kununua harakaharaka

Wameshinda treble lkn ni kama hakuna kilichotokea badala yake Arsenal iliyoshika nafasi ya pili ndio inazungumzwa zaidi

Liverpool iliyoshindwa kufuzu Uefa ndio inazungumzwa zaidi

Ni wazi hii ni plastic club with plastic fans

. wachezaji wa manchester city wote wanataka kuondoka manchester city

KDB bado ndoto yake ni kuvaa uzi wa liverpool

Bernado silva haitaki kabisa manchester city

Rodri anapambana aende barcelona akiondoka Pep

Haland amesaini mkataba akitaka kusepa muda wowote wasimzuie

Cancelo aliwakimbia

Kapten gundo kashinda treble ila kawakimbia

Foden ndoto yake ni kucheza manchester united hata baba yake alimkataza kusaini City

Unaona hapa they won treble lkn no one is talking about them
Manchester city anakuwa anavutia game inapowa live tu mechi ikiisha ni wanakuwa km ndondo

Manchester city imevuka hatua katika ukuaji wa timu this means watarudi walipotoka regardless wameshinda nini

Poor Pep unashindwa hata kwenda aston vila au leeds ukachagua plastic club
Daaah!...YANI MKUU TENA UKUTE NI MTOTO WA KIUME KABISA UMEFIKWA NA NYONGO, CHUKI+WIVU+TIMU YAKO INAFANYA VIBAYA EPL....

VYOTE HIVYO DHIDI YA MWANAUME MWENZAKO(GUARDIOLA) NA UWEKEZAJI WA MTU MWENGINE(MANSOUR) AMBAYE HUJACHANGIA ATA SENTI YAKO KUIFIKISHA PALE ILIPO LEO HII MAN-CITY....

UMEANDIKA UTUMBO MTUPU....
UNASHINDWA KUELEWA...KUWA MANCHESTER CITY INATENGENEZA LEGACY YAO HIVI SASA....ATA IYO ARSENAL UNAYOISEMEA APO WAKIPEWA FOLLOWERS MILLION.20 BURE KULE INSTAGRAM HAWAIFIKII CITY...IYO INAMAANISHA WATU WENGI WANAINTEREST NA CITY KULIKO WAO...

LIVERPOOL KUZUNGUMZIWA SANA KULIKO CITY NI KAWAIDA KWASABABU TAYARI WANA FANBASE KUBWA WALIYOITENGENEZA MIAKA MINGI ILIYOPITA...JAPO HAWAJAWAHI KUPATA TREBLE...MAANA KIHISTORIA NI TIMU MBILI TU ZILIZOWAHI BEBA TREBLE...ZOTE KUTOKA MANCHESTER CITY NA UNITED....ILA KINACHOFANYA KUTOIMBWA KWA MAN CITY NI KUWA CITY WANA FAN-BASE NDOGO KULINGANISHA NA LIVERPOOL & UNITED(LAKINI KIZURI NDO WANATENGENEZA LEGACY KIPINDI HICHI).

LABDA WEW....NI MGENI NA MPIRA WA ENGLAND, KIUHALISIA TIMU YA ASILI YA WAINGEREZA...NI LIVERPOOL NDIO WENYE HISTORIA KUBWA KATIKA MPIRA WA ENGLAND...YANI HAPA NAZUNGUMZIA TOKEA MIAKA YA 1960'S, 1970'S NA EARLY 80'S...Huku manchester united Walianza dominance yao miaka ya LATE.1980'S(simaanishi hawakuwah kuchukua vikombe kadhaa huko nyuma) ila hawakuwa Matembo adi alivyowasili sir Fergie miaka ya 82 pale england akitokea Aberden ya ligi kuu scortland...fergie akawapa jumla ya vikombe 13 vya ligi kati ya vikombe 20 walivyonavyo leo hii...ndo united wakatengeneza legacy yao na kujizolea FANS WENGI MIAKA HIYO.

Kwa upande wa CHELSEA...hawa ni bora ya City tofauti yao ni kwamba wana UEFA.2 tu na CITY wana UEFA.1...Maana chelsea wana jumla ya makombe 6 ya Ligi kuu england uku katika hayo 6 wakiwa wameyabeba 5 kipindi cha mwaka.2005(baada ya kuchukuliwa na Abrahamovich) hadi 2016...hivyo kabla ya hapo walikuwa ni MidTable team tu wakiwa na kikombe kimoja tu cha ligi. Ni bora ata mancity wenye makombe 9 hivi sasa ya ligi kuu huku 7 kati yao yakipatikana anzia 2011/2012 hadi 2023 na Mawili walikuwa nayo tokea miaka ya 1936/1937 na 1967/1968.

Hivyo kama wew ni muelewa...ni kwamba kila timu inakipindi chake ilichotumia kujijenga na kujiimarisha katika historia ya ligi kuu england(EPL)...hivyo KWA SASA NI KIPINDI CHA CITY KUDOMINATE KAMA ILIVYOPITA KWA LIVERPOOL MIAKA YA EARLY 60'S, 70'S NA 80'S. PIA KWA UNITED IN THE LATE 80'S, EARLY 90'S HADI 2011. NA WANACHOKIFANYA CITY KATIKA KIPINDI IKI KITAZAA MATUNDA NDANI YA MIAKA.10 IJAYO KATIKA UPANDE WA FANBASE WORLDWIDE WATAJIZOLEA SUPPORTERS WENGI MNOO(kama unabisha Tuombe Uhai katika hili...utakuja kulishuhudia)...KWASABABU NDO KIPINDI CHAO HIKI...HUENDA USIWE WEW KWASABABU KWA UMRI WAKO KUNA TIMU WAKATI UNAANZA KUSHABIKIA MPIRA ILIKUWA IPO FIRE KIPINDI ICHO ILA USIDHANI HAKUNA WATU WENGINE MBALI NAWEW AMBAO HAWAISHABIKII/HAWATOISHABIKIA CITY NA HAPA NAZUNGUMZIA VIJANA AMBAO SAHIVI WANA MIAKA.5 HADI 15...WANAOSHUHUDIA DOMINANCE YA CITY UINGEREZA NA SIO UNITED WALA LIVERPOOL AU ARSENAL AMBAO DOMINANCE YAO ILISHAPITA TAYARI.

HIVYO...ACHA WIVU KIJANA MAANA GUARDIOLA ALIKUWA FREE KABLA YA KUJA CITY BAADA YA KUFUKUZWA TU BAYERN...WATAKA KUSEMA IZO TIMU UNAZOZITAKA WEWE(UNAZOZIONA NI KUBWA) HAZIKUMUONA???...NA BADALA YAKE CITY WALIMFUATA WALIMUAMINI WAKAMWEKEA PROPOSAL MEZANI...NA SASA ANAWAPA VIKOMBE ACHA PEP GUARDIOLA AWASAIDIE KUWAJENGEA HISTORIA ENGLAND....TENA NI HISTORIA KUBWA MAANA PEP ANAWAPA VIKOMBE CITY KATIKA KIPINDI AMBACHO NI KIGUMU NA KILA TIMU INA MAKOCHA WAZURI NA WANAWEZA KUSAJILI(Mfano: Brighton na aston villa) tofauti na kipindi cha miaka 30 nyuma ambapo EPL ilikuwa 2 horses race yaani Man United VS Arsenal.

Na usije ukawa wew ni moja ya watu wanaojidanganya kuwa City haina mashabiki sio...kweli NA HAKUNA CLUB YA MPIRA WA MIGUU DUNIANI AMBAYO HAINA FANS...SIO KWELI kwa maana kila timu ina wazawa wake kutokana na sehemu ilipoanzishwa...namaanisha wakazi/wazawa wengi wa machester mjini ni mashabiki wa miaka mingi wa Man City(na ndio wale wanaonunua tickets na wanaooingia kutazama Matchdays) kwenye uwanja wa etihad...licha ya kuwa United walishafanya vizuri miaka ya nyuma. HAPA KAMA WEWE NI MWELEWA HAIHITAJI KUUMIZA KICHWA MAANA ATA EVERTON WANAMASHABIKI WAO/WAZAWA LICHA YA KUWA LIVERPOOL NDIO WANA MAKOMBE MENGI PALE MERSEYSIDE.

Na mwisho wa siku...mashabiki maandazi wasiofuatilia mpira kwa mapana na waliojaa Utimu wanakuwa na hitimisho la kijinga kama ulilokuja nalo wewe...ILA AKILI KUBWA KAMA ZA SIR. FERGIE ZINAELEWA UWEZO WA PEP NA KUKUBALI MAFANIKIO ALIYOWALETEA CITY....GUARDIOLA ALIVYOTUA TU KUTOKA INSTANBUL MARA BAADA YA KUWAPA CITY UEFA YAO YA KWANZA...FERGIE ALIMPIGIA SIMU NA KUMPONGEZA...ILA SASA WEWE SHABIKI MAANDAZI WA UKU BONGO...UKIJINASIBU SHABIKI WA UNITED AU LIVERPOOL AMBAYE HUJAWAHI ATA KWENDA KUTAZAMA MECHI YOYOTE PALE ANFIELD AU TRAFFORD...UNACHUKIA ALIYOYAFANYA GUARDIOLA PALE CITY.

So Grow Up Man...Leave Your Ego Behind....
 
Ungekuwa umewahi kufika England ungejidharau sana na kufuta kauli zako kwa aibu. City ni club kubwa sana pale Manchester na ina mashabiki lukuki pengine zaidi ya United katika jiji lile. Huo mtazamo wako ni katika mazingira yenu huko Kingugi.
City inamzidi mashabiki United?

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom