Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Pray for Pep
IMG-20250117-WA0062.jpg

Soma pia
 
Pray for Pep View attachment 3204754

Soma pia
Jumapili naipa Ipswich win kudadeki
 
Pray for Pep View attachment 3204754

Soma pia
Halafu tusipooa wanakuja kusema wanaume "wote mbwa"
 
Unaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.

ILA......

Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.

Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.

Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.

Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.

Mwisho wa mzizi wa fitina.
 
Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema
Hatukatai tukifa wote wana haki ya kurithi. Mauza uza yapo kwenye Talaka.

Ndio maana waislamu wao mwanamke hata awe bilionea, ukimpa talaka tu basi unaondoka na boxer zako. Issue ya kifo sasa hapo ipo tofauti.
 
Hawa watu watatumalizq
Unaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.

ILA......

Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.

Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.

Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.

Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.

Mwisho wa mzizi wa fitina.
 
Unaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.

ILA......

Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.

Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.

Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.

Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.

Mwisho wa mzizi wa fitina.
Sheria haipo hivyo, labda upate muungwana. Wamama wakifika miaka 45-50 wanaanza kudai uhuru
 
Wote tulishangaa. Kwa mara ya kwanza katika maisha yake kama kocha alicheza michezo 11 bila ushindi. Nini kilimpata Pep Guurdiola. A Football genious!

Kumbe kuna vita kubwa nyumbani alikuwa anaipigana. Nyumbani kunapokuwa na ufa hakuna ambacho kitaenda sawa.

Just imagine kuishi na mtu kwa miaka thelathini, kula pamoja, kulala pamoja na mambo mengine mengi kisha inatokea ulazima wa kuachana. Haiwezi kuwa rahisi!

Ni bahati mbaya tu huwa tunaona hitimisho la mapambano ya nyumbani ila sio mwanzo wake.

Mbali na mbinu na uhodari wake, Pep alibaki kuwa binadamu mwenye kuhitaji upendo na faraja.

Pengine alivikosa nyumbani, akapoteza ufanisi kazini, hatukuona kingine zaidi ya vipigo na kuyumba kwa team yake!

Baada ya miaka 30 ya ndoa, Pep Gurdiola kaachana na mke wake.
 
Pray for Pep View attachment 3204754

Soma pia
Tukiwaambia Ndoa utapeli hamuelewi
 
Back
Top Bottom