Udugu Feki
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 182
- 153
Afadhali hajamchiti kaka yule wa Robert Carlos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa busy na mpira!!!!?? Mae-mae walahi. Hizo mali alizozipata kama mgao zimetokana na nini?Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Wanaume hatuwezi kumiliki vitu vitatu kwa wakati mmoja: Hela, Mda, na Nguvu za kiume.Duh aiseee na mpira ndio uliowapa utajiri wote huo ila wanawake sie daah
Oya,ulipoteaUnaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.
ILA......
Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.
Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.
Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.
Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.
Mwisho wa mzizi wa fitina.
Wanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Kataa ndoa OYEEEE
Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Atatumia hela zikiisha anaomba mrudianeWanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?
Ubinafsi tu na tamaa ndiyo sababu ya talaka hapo. Hakuna kingine. Hapa ndipo Pepp Guardiola atamkumbuka yule mchezaji wa Morocco anayechezea PSG.
Hawa viumbe hatari sana
Unaleta ubishi afu kumbe hujui sasa mtaachanaje bila taraka kutolewa namahakama namambo yakupigana pasupasu kweny maliUongo
Wameachana ila sidhan km wamepelekana mahakamani
Ujuaji mwingiUnaleta ubishi afu kumbe hujui sasa mtaachanaje bila taraka kutolewa namahakama namambo yakupigana pasupasu kweny mali
Kwenye hili, hakuna mwanaume anayeweza kuchomoka, labda wale masikini tu..!!!Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Pesa c anayo hapo anatafuta kiben ten chakumpa raha....nasema kataa ndoaWanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?
Ubinafsi tu na tamaa ndiyo sababu ya talaka hapo. Hakuna kingine. Hapa ndipo Pepp Guardiola atamkumbuka yule mchezaji wa Morocco anayechezea PSG.
Bado anabakia na mshiko wa kufa mtu!Pesa c anayo hapo anatafuta kiben ten chakumpa raha....nasema kataa ndoa