Nehemia Kilave
JF-Expert Member
- Jan 9, 2022
- 1,414
- 3,118
Jumapili naipa Ipswich win kudadekiPray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Halafu tusipooa wanakuja kusema wanaume "wote mbwa"Pray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Halafu tusipooa wanakuja kusema wanaume "wote mbwa"
Hatukatai tukifa wote wana haki ya kurithi. Mauza uza yapo kwenye Talaka.Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema
Unaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.
ILA......
Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.
Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.
Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.
Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.
Mwisho wa mzizi wa fitina.
Sheria haipo hivyo, labda upate muungwana. Wamama wakifika miaka 45-50 wanaanza kudai uhuruUnaoa, unajenga familia yako, unaihudumia.
ILA......
Mali zako weka kwa jina lako binafsi zibainishe mke wala watoto hawahusiki ama weka kwa jina la kampuni ikibainisha mke wala watoto hawahusiki hadi ukufe na hii iwe siri kuwa watarithi utapokufa ili wasikuue mapema.
Binadamu tumekuwa wabinafsi ila uhalisia we all need each other haswa kwenye ile sekta pevu. Puchu haifungi goli maridhawa itafunga goli mradi goli.
Hakuna aliyemkamilifu.
Kama mkeo ni mama wa nyumbani mlipe mshahara mwambie aweke akiba awe na mali zake na hizo ni zako siku mkiachana kila mtu abaki na mali zake. Akiwa mla bata na mvaa mawigi ndo ataondoka nayo.
Kama anafanya kazi au biashara, mwambie nae achume mali zake nawe zako, siku mnatengana kila mtu anabaki na zake.
Mwisho wa mzizi wa fitina.
Tukiwaambia Ndoa utapeli hamuelewiPray for Pep View attachment 3204754
Soma pia
Pep Guardiola aachana na mkewe baada ya miaka zaidi ya 30 kuwa pamoja
Baada ya miaka 30 pamoja, na watoto 3, Pep Guardiola na Cristina Serra wanaonekana kutengana. 💔 == Kocha wa Manchester City Pep Guardiola ameachana na mke wake Cristina Serra ambaye wamekaa pamoja kwa miaka 30. Guardiola ambaye anapitia kipindi kigumu kwenye kikosi cha Manchester City...www.jamiiforums.com
Huyo ndio mwanamkePray for Pep View attachment 3204754