Pep Guardiola amekamilisha talaka kwa kupoteza Jumba na Nusu ya utajiri wake, mtalaka adai Pep alikuwa bize na mpira

Alikuwa busy na mpira!!!!?? Mae-mae walahi. Hizo mali alizozipata kama mgao zimetokana na nini?
 
Oya,ulipotea
 
Wanawake kuna wakati hata hawaeleweki wanataka nini! Kwa hiyo baada ta kutengana ndiyo atampata mtu atakayekuwa naye muda wote? Yaani hata akitaka kwenda chooni kukata gogo, ataenda naye!! Au ataendelea kuishi maisha yaleyale?

Ubinafsi tu na tamaa ndiyo sababu ya talaka hapo. Hakuna kingine. Hapa ndipo Pepp Guardiola atamkumbuka yule mchezaji wa Morocco anayechezea PSG.
 
Kataa ndoa OYEEEE
Your browser is not able to display this video.
 
Atatumia hela zikiisha anaomba mrudiane
 
Nilikwisha sema na nitaendelea kusema, wanawake japo ni mama,dada,shangazi na ni watoto wetu lakini ni chanzo za matatizo mengi hapa duniani. Wana ushetani ndani yao..ndio maana nimeanza kuwaelewa waPakstani kwa sera zao kuhusu wanawake.
 
Kwenye hili, hakuna mwanaume anayeweza kuchomoka, labda wale masikini tu..!!!
Sababu ni hizi;

1. Mwanamke anamtaka mwanaume mwenye hela, hence lazima uwe na time ya kutafuta hela, hivyo utakuwa na muda mchache wa kuwa naye.

2. Mwanamke anamtaka mwanaume mwenye muda mwingi wa kuwa naye. Hivyo, itambidi mwanaume apunguze muda wa kutafuta hela ili akae na mwanamke wake. Lakini katika kufanya hivyo, anaweza akakosa hela

3. Bahati mbaya, ukikosa chochote kati ya muda na hela, mwanamke anaweza akakukimbia.
 
Pesa c anayo hapo anatafuta kiben ten chakumpa raha....nasema kataa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…