Pep Guardiola atangaza vita dhidi ya Mikel Arteta

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
2,780
Reaction score
6,607
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemjia juu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta akimwambia ametangaza vita dhidi ya pande hizo mbili, ikiwa ni mwendeleo wa kurushiana maneno baina ya pande hizo baada ya matokeo ya sare ya magoli 2-2 walipokutana Wikiendi iliyopita.

Guardiola amesema “Wakati mwingine anapotaka kuizungumzia timu yetu awe muwazi sio kuzungumza kwa mafumbo, anaposema anajua kilichotokea miaka minne aliyokuwa hapa anamaanisha nini au ni kuhusu hukumu ya Makosa 115? Yawezekana anajua kilichotokea. Wanataka Vita? Sasa tupo kwemye Vita.”

Pep ametoa kauli hizo baada ya Arteta kunukuliwa akisema walifanikiwa kuzima ‘Soka la Giza’ katika mechi dhidi ya City na kuwa anajua vitu vingi kwa muda aliokuwa mchezaji na kisha Kocha Msaidizi wa Guardiola.”

====== == ===

Pep Guardiola hits back at Mikel Arteta after his barbed comments towards Man City and declares 'WAR' on Arsenal following their ill-tempered 2-2 draw as the Etihad fallout grows heated

The bad blood between the Premier League title rivals shows no signs of abating, with Guardiola understood to feel let down by vague accusations emanating from his former assistant manager.

Arteta was clearly agitated by suggestions that his team utilised the ‘dark arts’ as they defended their lead with 10 men at the Etihad Stadium and on Tuesday said: ‘I have been there (City) before. I was there for four years. I have all the information. So I know. Believe me.’

Guardiola messaged Arteta after the draw but was then taken by surprise by the Arsenal manager’s midweek comments.

And on Friday he responded, referencing City’s ongoing hearing with the Premier League over the club’s alleged financial misdemeanours.

Ahead of Saturday's trip to Newcastle United, Guardiola said: ‘Next time Mikel has to be more clear exactly what he means.

'We know exactly what happened here in those four years. Maybe it’s about the 115 charges, maybe he has information on that or maybe he has something I don’t know? Next time, with the good relation I have with him, he can answer exactly what he means when he says he was here.’

Guardiola added: ‘(Arsenal defender) Gabriel said it perfectly after the match. So this is a war, we have here to provoke the opponent, to push them, and at the end, what can you do? You want a war? Now we war.’

Guardiola also confirmed that Rodri will miss the entire season after suffering damage to the anterior cruciate ligament and meniscus in his right knee. Rodri had surgery in Madrid on Friday morning.

Meanwhile, Arteta has mocked critics of Arsenal’s conservative playing style at the Etihad, saying any other approach would be like wearing ‘flip-flops and shorts’ in the rain.

Ahead of Arsenal’s match against Leicester, Arteta added: ‘I want to win. The way we prepare games and the way we want to play — in our way.

‘But understanding the context. I want to wear flip-flops, shorts and a T-shirt, but with this weather? I think I would be very silly to do that. “I am very brave” — yeah, but tomorrow you are sick.’

Source: DailyMail
 
Arsenal hawana quality ya kuwa title rivals wa city wanaforce tu,sasaxwanahamiq ktk vurugu wanatoka ktk mpira, liverpool amebattle na city miaka almost 5 ila hakujawahi kuwa na personal attack zaidi ya mpira ndani ya dk 90,klopp hajawah kurushiana maneno na pep hawa arsenal mpira umewashinda!!
 
Kwa misimu miwili arsenal amemaliza wa pili nyuma ya Man City kwa points 5 na 2.

Kwa misimu miwili Man City hajashinda mechi dhidi ya arsenal.

Arsenal hajapoteza mechi ugenini toka mwaka uanze.

Arsenal amepoteza mechi moja EPL mwaka 2024.

Arsenal ana best defense kwenye league kwa mujibu wa takwimu.

Arsenal ni moja ya timu mbili (na Man City) ambazo hazijapoteza mchezo msimu huu licha ya kucheza dakika zaidi ya 90 wakiwa pungufu.

Kwa takwimu hizi kama unadhani Arsenal sio hasimu wa ubingwa na timu yeyote utakayowania, acha kushabokia mpira ukacheze rede na dada zako.

Nitajie ugomvi wa kocha au mchezaji yeyote wa Arsenal aliouanzisha dhidi ya mchezaji au kocha wa Man City?

City wanatafuta sympathy kwa mashabiki wa timu zingine dhidi ya arsenal kwa sababu wanajua wao hawana mashabiki.

Na wanasema ushindani wa Liverpool ulikuwaga bora kwasababu Liverpool kwa sasa hana madhara kwao. Baada ya muda fulani, wakishindana na timu nyingine watasema ushindani wa Arsenal ulikuwa Bora kuliko hiyo timu .
 
Atapoteza tu huu mwaka timu zimechangamka. Na arsenal habebi kikombe ng'oo
 
Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola amemjia juu Kocha wa Arsenal, Mikel Arteta akimwambia ametangaza vita dhidi ya pande hizo mbili, ikiwa ni mwendeleo wa kurushiana maneno baina ya pande hizo baada ya matokeo ya sare ya magoli 2-2 walipokutana Wikiendi iliyopita.

Guardiola amesema “Wakati mwingine anapotaka kuizungumzia timu yetu awe muwazi sio kuzungumza kwa mafumbo, anaposema anajua kilichotokea miaka minne aliyokuwa hapa anamaanisha nini au ni kuhusu hukumu ya Makosa 115? Yawezekana anajua kilichotokea. Wanataka Vita? Sasa tupo kwemye Vita.”

Pep ametoa kauli hizo baada ya Arteta kunukuliwa akisema walifanikiwa kuzima ‘Soka la Giza’ katika mechi dhidi ya City na kuwa anajua vitu vingi kwa muda aliokuwa mchezaji na kisha Kocha Msaidizi wa Guardiola.”

====== == ===

Pep Guardiola hits back at Mikel Arteta after his barbed comments towards Man City and declares 'WAR' on Arsenal following their ill-tempered 2-2 draw as the Etihad fallout grows heated

Pep Guardiola hits back at Mikel Arteta after his barbed comments towards Man City and declares 'WAR' on Arsenal following their ill-tempered 2-2 draw as the Etihad fallout grows heated

The bad blood between the Premier League title rivals shows no signs of abating, with Guardiola understood to feel let down by vague accusations emanating from his former assistant manager.

Arteta was clearly agitated by suggestions that his team utilised the ‘dark arts’ as they defended their lead with 10 men at the Etihad Stadium and on Tuesday said: ‘I have been there (City) before. I was there for four years. I have all the information. So I know. Believe me.’

Guardiola messaged Arteta after the draw but was then taken by surprise by the Arsenal manager’s midweek comments.

And on Friday he responded, referencing City’s ongoing hearing with the Premier League over the club’s alleged financial misdemeanours.

Guardiola messaged Arteta after the draw but was then taken by surprise by the Arsenal manager’s midweek comments.

And on Friday he responded, referencing City’s ongoing hearing with the Premier League over the club’s alleged financial misdemeanours.

Ahead of Saturday's trip to Newcastle United, Guardiola said: ‘Next time Mikel has to be more clear exactly what he means.

'We know exactly what happened here in those four years. Maybe it’s about the 115 charges, maybe he has information on that or maybe he has something I don’t know? Next time, with the good relation I have with him, he can answer exactly what he means when he says he was here.’

Guardiola added: ‘(Arsenal defender) Gabriel said it perfectly after the match. So this is a war, we have here to provoke the opponent, to push them, and at the end, what can you do? You want a war? Now we war.’

Guardiola also confirmed that Rodri will miss the entire season after suffering damage to the anterior cruciate ligament and meniscus in his right knee. Rodri had surgery in Madrid on Friday morning.

Meanwhile, Arteta has mocked critics of Arsenal’s conservative playing style at the Etihad, saying any other approach would be like wearing ‘flip-flops and shorts’ in the rain.

Ahead of Arsenal’s match against Leicester, Arteta added: ‘I want to win. The way we prepare games and the way we want to play — in our way.

‘But understanding the context. I want to wear flip-flops, shorts and a T-shirt, but with this weather? I think I would be very silly to do that. “I am very brave” — yeah, but tomorrow you are sick.’

Source: DailyMail
Kocha na mchezaji wake wa zamani waingia kwenye bifu.
 
Back
Top Bottom