Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

Pep Guardiola kaigeuza ligi kuu ya uingereza kuwa farmer's league?

gearbox

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2024
Posts
563
Reaction score
1,768
1716139260897.png


MARA NNE MFULULIZO, MARA SITA KWA MIAKA SABA

2018: Manchester City πŸ†
2019: Manchester City πŸ†
2020: Liverpool πŸ†
2021: Manchester City πŸ†
2022: Manchester City πŸ†
2023: Manchester City πŸ†
2024: Manchester City πŸ†

Akiwa Barcelona alishinda La Liga mara 3 mfululizo kukawa na kelele za waingereza kwamba la liga ni farmer's league

EPL imekuwa farmer's league ??
 
Ancelloti anajua lakini akija EPL anakaalishwa hata na mwanafunzi wa pep kocha wa Arsenal.

anabebwa zaidi na ukubwa wa real madrid, timu kubwa zaidi duniani.
sasa ukisema hivyo kipara ngoto si anasajili wachezaji wa nguvu kama ilivyo real tu. aondoke hapo city aende arsenal akawape mataji.
Klopp bado atabaki ni nambari 1. ana average players lakini wanapambana sio poa. city pesa kama ile angekua nayo klopp ingekua habari mingine.
 
sasa ukisema hivyo kipara ngoto si anasajili wachezaji wa nguvu kama ilivyo real tu. aondoke hapo city aende arsenal akawape mataji.
Klopp bado atabaki ni nambari 1. ana average players lakini wanapambana sio poa. city pesa kama ile angekua nayo klopp ingekua habari mingine.
Arsenal tayari inaongozwa na mwanafunzi wake Mikel Arteta, kaifufua Arsenal imekuwa tishio, ni suala la muda tu Mikel Arteta atakuwa bora kuzidi hata mwalimu wake, Arsenal itabeba makombe back to back
 
Timu ikibeba zaidi ya mara 3 ubingwa,ligi inakosa ladha.

Pep asiigeuze premier league kama ligi ya ujerumani,asepe zake sasa maana ameshindikana.
Mikel Arteta mwanafunzi wake ndie anaekuja kupindua meza, atakuwa bora kuzidi hata mwalimu wake, Mwaka ujao Arsenal inaanza rasmi kubeba makombe ya EPL mfululizo, believe that !!

Pep anaondoka mwakani kwa furaha zote akijua mwanafunzi wake kaiva vizuri na kaweza kumpindua.
 
Mara Ngapi tuwaambie maana ya FARMERS LEAGUE??Mancity Hata achukue kombe back to back Mara kumi,haifanyi Epl kua Farmers League,

EPL ushindani upo na tunaona daily,Mancity Bora Sana,msimu wa pili mfululizo league inaamuliwa Siku Ya mwisho,

Liverpool ya Kloop Ilipata Points 99 na Bado haikushinda League,uliona wapi??

Mwaka huu Liverpool kashinda mechi ya 27 but kwenye title race Hayupo,uliona wapi??

Level ya ushindani ya EPL Huwezi kuikuta Bundesliga, League 1,La Liga Wala popote,

Huku EPL Kila mechi Ngumu, Nottingham Forest Vs Burney Sio sawa na Girona Vs Sevilla
 
financial fair play itawale kama miaka ya zamani. pesa imeharibu mpira. mpira zamani. siku hizi vipaji hamna. mbinu zimezidi, pesa imeharibu mpira.
Financial fair play ilisababisha vijana wakamaliza mda wao wa kucheza wakiwa maskini wa kutupwa na walevi kupindukia
Survival for the fittest achia milango mwarabu aweke hela mpira uchezwe
 
Ancelloti anajua lakini akija EPL anakaalishwa na Mikel Arteta mwanafunzi wa Pep.

Ancelotti anabebwa zaidi na ukubwa wa real madrid, timu kubwa zaidi duniani.
Sijui kwasababu ligi ya Spain nayo si mchezo halafu pia Guardiola alipewa pesa nyingi sana za usajili wa wachezaji anaowataka ni tofauti na kina Arsenal
 
Back
Top Bottom