Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,821
Huo ndio ushindani,labda Jamaa yetu huwa aangalii Mpira,wengine Mpira ndio starehe yetu,tImu zinazoshuka daraja EPL,sio sawa na tImu zinazoshuka daraja Ufaransa, Spain, Ujerumani, angalia game hizi halafu aniambie league gani atazipataEpl achana nayo kabisa hii ligi, pamoja na ukubwa wa City bado Arsenal ilikua na matumaini makubwa ya kutwaa ubingwa.
Leo hii Man u hana anachopambanii chochote zaidi ya Epl msimu ujao, Chelsea nae chupuchupu awe kama mwenzie.
City utawala wake nae soon unatamatika, uzuri wa EPL ni kuimba kupokezana. Utakua bora ila huchukui kombe kindezi.
Manchester united vs Liverpool
Arsenal vs Manchester city
Chelsea Vs Tottenham
Newcastle Vs Aston Villa
Hizo mechi zote it's worth watching,ataje ligi zake mechi mbili Kali,