Jorgan Klopp wa Liverpool kapambana sana kaambulia mara 1 tu baada ya hapo kaburuzwa mara 4 mfululizoMara 4 mfululizo
Hilo kombe waachiwe litengenezwe lingine
Jamaa namuona akisumbua sana hapoTumsikilizie kocha mpya wa Liverpool msimu ujao, Jorgan Klopp kaamua kukubali Pep ni kisiki
Ancelloti anajua lakini akija EPL anakalishwa na Mikel Arteta mwanafunzi wa Pep.Ameshindikana, kiboko yake ni Ancellotti tu labda
sasa ukisema hivyo kipara ngoto si anasajili wachezaji wa nguvu kama ilivyo real tu. aondoke hapo city aende arsenal akawape mataji.Ancelloti anajua lakini akija EPL anakaalishwa hata na mwanafunzi wa pep kocha wa Arsenal.
anabebwa zaidi na ukubwa wa real madrid, timu kubwa zaidi duniani.
Arsenal tayari inaongozwa na mwanafunzi wake Mikel Arteta, kaifufua Arsenal imekuwa tishio, ni suala la muda tu Mikel Arteta atakuwa bora kuzidi hata mwalimu wake, Arsenal itabeba makombe back to backsasa ukisema hivyo kipara ngoto si anasajili wachezaji wa nguvu kama ilivyo real tu. aondoke hapo city aende arsenal akawape mataji.
Klopp bado atabaki ni nambari 1. ana average players lakini wanapambana sio poa. city pesa kama ile angekua nayo klopp ingekua habari mingine.
financial fair play itawale kama miaka ya zamani. pesa imeharibu mpira. mpira zamani. siku hizi vipaji hamna. mbinu zimezidi, pesa imeharibu mpira.Farmers kabisa Bora hata kuangalia bundesliga
Mikel Arteta mwanafunzi wake ndie anaekuja kupindua meza, atakuwa bora kuzidi hata mwalimu wake, Mwaka ujao Arsenal inaanza rasmi kubeba makombe ya EPL mfululizo, believe that !!Timu ikibeba zaidi ya mara 3 ubingwa,ligi inakosa ladha.
Pep asiigeuze premier league kama ligi ya ujerumani,asepe zake sasa maana ameshindikana.
Financial fair play ilisababisha vijana wakamaliza mda wao wa kucheza wakiwa maskini wa kutupwa na walevi kupindukiafinancial fair play itawale kama miaka ya zamani. pesa imeharibu mpira. mpira zamani. siku hizi vipaji hamna. mbinu zimezidi, pesa imeharibu mpira.
ama nini! ππΏFinancial fair play ilisababisha vijana wakamaliza mda wao wa kucheza wakiwa maskini wa kutupwa na walevi kupindukia
Survival for the fittest achia milango mwarabu aweke hela mpira uchezwe
Sijui kwasababu ligi ya Spain nayo si mchezo halafu pia Guardiola alipewa pesa nyingi sana za usajili wa wachezaji anaowataka ni tofauti na kina ArsenalAncelloti anajua lakini akija EPL anakaalishwa na Mikel Arteta mwanafunzi wa Pep.
Ancelotti anabebwa zaidi na ukubwa wa real madrid, timu kubwa zaidi duniani.
Kwa msimu huu timu kama man City, arsenal na Chelsea zilipewa mafungu ya kutosha, Pep is just Pep...Sijui kwasababu ligi ya Spain nayo si mchezo halafu pia Guardiola alipewa pesa nyingi sana za usajili wa wachezaji anaowataka ni tofauti na kina Arsenal