Pep Guardiola kathibitisha ubora wake

Pep Guardiola kathibitisha ubora wake

Nadhani hujaelewa, ama hujaelewa vya kutosha. Ngoja nkujaze maarifa kidogo kuhusu mrembo pep guardiola, anayependa copy and paste vya wanaume wenzake.

Pep kabeba makombe mengi Barca sababu alikuwa na Messi, na kumbuka kipindi kile hii style ya Barca tiki taka ilikuwa ikisumbua sana timu pinzani.

Mashabiki wa Barca tulimuona Pep ni mwehu pale timu inaposa plan b baada ya kubanwa. Timu pinzani zikipata chance ya kuongoza ushindi basi wanazuia mwanzo mwisho. Barca hii ya sasa umewahi kuona inawekewa makontena?

Pep alikuwa na Henry, tukampaga Ibra ijapokuwa eto'o hakustahili kuondoka. Alikuwa na Villa pia, hawa wote wanaweza wakafunga hata nje ya Box endapo mkawekewa kontena, hawa wote pia counter attack walikuwa wanaziweza, Pep alijali hilo? Matokeo yake akaanza kuwapa namba akina Tello, Cuenca n.k hata leo hii Pep angekuwa Barca usingemuona Neymar akiacheza mwanzo mwisho, angetokea bench kumpokea Pedro. Usingemuona Suarez pale.

Kuhusu kubeba makombe Bayern hata wewe unaweza, Bayern = PSG. Ligi haina ushindani, utashindwa kubeba makombe? Jiulize kwanini haendi kufundisha timu ambazo zinahitaji kusukwa upya? Kuna Man U, Chelsea n.k zote hizi alizitolea nje.

Bayern kabeba makombe sababu nyingine ni kwamba timu kaikuta na ilikuwa inabeba makombe hivyo hivyo. We ngoja uone atakavyohenya huko EPL.
Siyo kweli!! Kizuri cha jiuza mkuu, mpe tu heshima yake. Roho mbaya haifai.
 
Juve ni moja ya team zenye discipline sana
na hawakufanya makosa sana katika kujilinda
kubali Pep aliwazidi mbinu....
Juventua walichoka, ukimuangalia Bonucci, Chielin, Evra n.k wote hawakuonesha juhudi za kupambana kuanzia dakika ya 64+ hususani kwa beki za kati na kiungo mkabaji.

Bayern walianzisha vijana, Semi Khedira hakupaswa kwenda sub mapema ile, angeweza kupambana na wale majaa. Kocha akamtoa, beki za Bayern zikapata ahueni baada ya Morata kwenda bench pia. Kazi ya morata ni kukimbia na mpira na kujoposition sehemu ya hatari. Mandzukic ni mchezaji mzuri ila ni mpaka pale mpira uje ndo aoneshe uwezo.

Kiufupia ni kwamba sub ziliwaumiza Juventus, ukijumrisha na kuchoka ndo kabisa.
 
Hahaha Pep wengi hawamkubali maana ile team yake ya Barca ilikua too much...navile aliwapiga man utd fainali zote mbili za uefa basi ndo hapo beef na kutokukubalika kukaanza...lakini jamaa ana effect kubwa sana..hata kabla hajafika man city watu washaanza kutetemeka..na ile effect yake akicoach team ya nchi flani lazima hiyo nchi ishinde world cup..England ashaanza kujiamini Russia 2018 sababu ya jamaa huyu...
Hizi ndo huwa tunaziitaga Pumba, kuifundisha Bayern kunahusiana vipi na timu ya taifa?

Unajua huo mwaka wa WORLD CUP Bayern Munich alitolewaje UEFA? Soka walililocheza German unalifananisha na Bayern?
 
Back
Top Bottom