Pep Guardiola kathibitisha ubora wake

Siyo kweli!! Kizuri cha jiuza mkuu, mpe tu heshima yake. Roho mbaya haifai.
 
Juve ni moja ya team zenye discipline sana
na hawakufanya makosa sana katika kujilinda
kubali Pep aliwazidi mbinu....
Juventua walichoka, ukimuangalia Bonucci, Chielin, Evra n.k wote hawakuonesha juhudi za kupambana kuanzia dakika ya 64+ hususani kwa beki za kati na kiungo mkabaji.

Bayern walianzisha vijana, Semi Khedira hakupaswa kwenda sub mapema ile, angeweza kupambana na wale majaa. Kocha akamtoa, beki za Bayern zikapata ahueni baada ya Morata kwenda bench pia. Kazi ya morata ni kukimbia na mpira na kujoposition sehemu ya hatari. Mandzukic ni mchezaji mzuri ila ni mpaka pale mpira uje ndo aoneshe uwezo.

Kiufupia ni kwamba sub ziliwaumiza Juventus, ukijumrisha na kuchoka ndo kabisa.
 
Hizi ndo huwa tunaziitaga Pumba, kuifundisha Bayern kunahusiana vipi na timu ya taifa?

Unajua huo mwaka wa WORLD CUP Bayern Munich alitolewaje UEFA? Soka walililocheza German unalifananisha na Bayern?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…