Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

Asilimia kubwa kocha akipewa hela atakayo na wachezaji atakao, mafanikio huja. Kama pep yuko vizuri achukue timu ya kawaida tu kama uliyoitaja kwa bajeti ya kawaida.
Wangap wamepewa pesa alafu waka zingua... mou mwenyewe tu ana tumua pesa kibao lakin amna kitu... ao west ham cjui everton kila siku wana spend pesa lakin amna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu una uhakika kua Guardiola ndiye kocha aliye anzisha style ya tik-tak pale Camp nou?
 
Kumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom