NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
BADO KUMUITA MOURINHO MUHUNI NI KUKOSEA ADABU FANI ELIMU AU FANI YEYOTE HUPIMWA NA MAFANIKIO.kiboko yake kivipi? Rekodi zitakumbukwa kwa mataji waliyoshinda kama klopp lengolake ni kumfunga tu ila sio kuchukua vikombe basi akiondoka tu liver na rekodi yake imesahauliwa.
Klop ana mfunga pep alafu ana filimbwa na akina alan pardewUmesema vema ila na yeye ana mbabe wake Jurgen klop
Kwan makocha wengine awaruhusiwi kutumia pesa?Huenda kweli ni kocha bora ila pesa nayo inasaidia! Siku nikimuona yupo Levante afu akachukua ubingwa nitamsifu zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangap wamepewa pesa alafu waka zingua... mou mwenyewe tu ana tumua pesa kibao lakin amna kitu... ao west ham cjui everton kila siku wana spend pesa lakin amna kituAsilimia kubwa kocha akipewa hela atakayo na wachezaji atakao, mafanikio huja. Kama pep yuko vizuri achukue timu ya kawaida tu kama uliyoitaja kwa bajeti ya kawaida.
Kwani man u awana pesa? Man city na man u mbona zime tofautiana kidogo tu katika kutumia pesahamna kitu mule..angeeda man u..akakimbilia kwa wenye hela zao..misimu mitatu kishatumi £600m
Ndo mpira kila mmoja ana mbaya wake
KOCHA ALIESABABISHA VILEMA KUTEMBEA.SIO HAO MAKOCHA PESA
Mbona hajawai fanya ivo tena?KOCHA ALIESABABISHA VILEMA KUTEMBEA.SIO HAO MAKOCHA PESA
Hahahahah, kwa hiyo mkuu huu unaitwa mwendo gani??Gardiola akikutana na klop,,, mwendo unachangeView attachment 842640
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliianzisha Johan Cruyff. Baadae ilipotea Pep akaja kuirejesha na kuidevelop. Kwa hiyo huwezi kuacha kumpa creditMkuu una uhakika kua Guardiola ndiye kocha aliye anzisha style ya tik-tak pale Camp nou?
Klopp anakamia big gamesJurden klopp kiboko yake..ila ni kocho bora duniani kwa sasa hilo halina ubishi..sio mhuni yule aliyepale Old Traford kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Zomb style,, apoo alikuwa kakunyugwa 3-0 na klopHahahahah, kwa hiyo mkuu huu unaitwa mwendo gani??
Yaani yule aliyopo man u ni 10th generation ya Pep Guaduola....Jurden klopp kiboko yake..ila ni kocho bora duniani kwa sasa hilo halina ubishi..sio mhuni yule aliyepale Old Traford kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Team tajiri Man utd anakuja mbere ya City tena kwa mbali, alafu City hajanunua mchezaji hata wa 70? Wakati kuna wengine wameshatumia zaidi ya 200Kwani man u awana pesa? Man city na man u mbona zime tofautiana kidogo tu katika kutumia pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Vilabu exceptional vinataka kocha exceptionalKumbuka Guardiola anabebwa na utajiri wa timu anazozifundisha kila mchezaji anaemtaka anampata apewe mid table timu tuone (Barcelona, Beyern,now Man city ) hizi clubs ni exceptional.
Sent using Jamii Forums mobile app