Pep Guardiola, Nakutaka Radhi. Nisamehe!

Huenda kweli ni kocha bora ila pesa nayo inasaidia! Siku nikimuona yupo Levante afu akachukua ubingwa nitamsifu zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahah wewe kweli hujui kabisa soka. talent attracts talent kijana. kashafanya internship yake akiwa na team b inatosha, aende tena lavante.

yes money can procure the best players in the world but is certainly can not replace tactical acumen, leadership, sleepless nights thinking how to out manouver ur opponent and certainly it can not bring the purish football that he has brought to the world. the only closest manager that comes as close to the beautiful football that his teams display is sarri....excellent job at napoli. an absolute delight to what that team play. and when the two met in the champions league last season, that was the best tactical game i have ever witness, the tactical blows was incredible.

kajifunze soka acha mbwembwe
 
waafrika wengi hawakumpenda kisa hakumtaka eto....
 
hamna kitu mule..angeeda man u..akakimbilia kwa wenye hela zao..misimu mitatu kishatumi £600m

ana akilialiona bala man utd hamna kitu ...kucheza unavyotaka lazima upate wachezaji unaotaka. pesa inakuwezesha kupata hao wachezaji lakini hapondio ukomo a pesa unafika na mwanzo wa ukocha unapoanza...kuwafanya hao wachezaji bora wakubali kucheza vile wewe unavyotaka.....leadership.
 
Ila msimu huu hawezi kutwaa ubingwa wa EPL
Hutaki basi

E&K
 
Wanafunga magoli na mikono.
utafiti uliofanyika ni kwamba msimu uliopita guardiola alipata upendeleo wa kubadilisha matokeo kwa point zaidi ya 10,yaani ingefanyika haki asingefika point 100,kwa hyo kama wanafunga kwa mikono wolves acha tu guardiola azowee..ndo mpira
 
Yea ndio mpira lkn tunaomba tuendako msibadili maneno yenu,kuwa timu ya Pep hivi na hivi.Maana kama magoli yanafungwa na mikono yanaruhusiwa basi Pep hana chake
 
Yea ndio mpira lkn tunaomba tuendako msibadili maneno yenu,kuwa timu ya Pep hivi na hivi.Maana kama magoli yanafungwa na mikono yanaruhusiwa basi Pep hana chake
pole,inaelekea umeumizwa sana...pep kabebwa sana msimu uliopita,na msimu huu hachezi kama msimu uliopita,kaliona hilo..kaanza kujitetea..hii ndo epl
 
pole,inaelekea umeumizwa sana...pep kabebwa sana msimu uliopita,na msimu huu hachezi kama msimu uliopita,kaliona hilo..kaanza kujitetea..hii ndo epl
Hachezi kama msimu uliopita vipi wakati game tu ya pili alisare na Everton?.Pep hajawahi kubebwa na tuwekee hapa mechi aliyobebwa?.Tatizo mnachuki na Pep mpaka mnataka haki isitendeke kisa anaetendewa uovu ni Pep,kila mtu ameangalia Mpira kaona kilichotokea uwanjani,mwisho wasiku hakuna kitakachobadilika .Tuendelee na league brother.
 
VAR leo umhimu wake unaonekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…