Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Wewe ni team gani Kwanza kama ni Manchester United tunajua ni team ya mashabiki wasiojua mpira
 
chelsea ana bench la shi ngap?
Tofauti na Chelsea wachezaji wengi hawajapitia hata pre season na kucheza pamoja na team imepitia mabadiliko katikati, ipitie Chelsea ya nyuma hapa ilikuwa vipi. Guardiola mpe Man U ile ya kina Maguire na hawa Glazers halafu utanambia. Ila all in all, jamaa anajua sana
 
Mlilazimishwa kununua magwaya?
 
City ilikuwa na ukubwa upi wa kuinyanyasa Madrid? Wakati wapo kina Mancini na pelegrin?

Pep katengeneza system
Pep kaichukua City chini ya Kocha Pellegrin akiwa kabeba EPL na kaingia nusu fainali za UEFA CHAMPIONS LEAGUE akina Aguero wakiwa wa [emoji91].
 
psg je mbona hawafanikiwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…