Jose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.
Pep anamuheshimu sana Mourinho kwenye mechi za mtoano na anamwelewa vyema sana kuwa Special One huwa hacheki na kima akiwa kwenye hatua hizo.
Sent from my CPH2387 using
JamiiForums mobile app
●Sababu ya Pep kuondoka Barça:
Ngoja kwanza nikupe sababu ya Pep kuondoka Barça. Baada ya Barça kutolewa na Chelsea kwenye UEFA msimu wa 2011/2012, Pep alitangaza kuwa ataondoka Barça mwishoni mwa msimu huo. Hivyo kusema Mou ndiye aliyemfukuzisha kazi sio sahihi kabisa.
Tuanze sasa historia nzuri kati ya Pep na Mou pale Spain
▪︎RMA walimsajili Mourinho mwaka 2010
▪︎Pep akaondoka Barça 2012
Tupitie rekodi zao za misimu miwili waliyokutana 2010/2011 na 2011/2012
●
MSIMU WA 2010/2011 (Pep vs Mou)
(1)Walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye la liga RMA alilamba goli 5-0 pale Camp Noú msimu huo Barça wakabeba kombe la La Liga
(2)Kwenye semi final ya UEFA wakakutana Barça na RMA. Barça akamtoa RMA kwa aggregate ya 3-1, Barça akanyanyua UEFA msimu huo.
(3)Mwaka huo RMA chini ya Mou waliambulia Copa del Rey tu
●
MSIMU WA 2011/2012 (Pep vs Mou)
(1)Barça na RMA walikutana kwenye Spanish Super Cup. Barça wakashinda 5-4 in aggregate
(2)Msimu huu Barça chini ya Pep walishinda kombe la Copa del Rey na Spanish Super Cup
(3)RMA walinyanyua kombe la La Liga
Kwa takwimu hizo ni nani alikuwa bora Pep au Mou?