Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Uyo morinyo akae kimya TU mpira ushamshinda,yeye mbona pia kafundisha club kubwa zenye bajeti kubwa ila kimafanikio hamfikii pep hata nusu
Ficha ujinga bhas hv unamjua mourinho aka msema hovyo wewe, huyu alianza kubeba uefa akiwa bado kijana natimu ndogo ya fc porto uje umfananishe nahuyu anaetumia pesa tena kwenye matimu makubwa namiaka zaid ya 15 ana uefa mbil tena zote kapewa namessi
 
Pep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Hii point mbona kila mtu anaandika?? Yani inajibiwa ila bado watu wanaandika.
Yani wewe ni mtu wa mia7 kuja na point ileile
Badilisheni basi chaneli
 
Binafs morinyo nu conservative Sana,anafundisha mpira wa kizamani (too defensive) na hayuko flexible kubadilika kimbinu

Timu zote anazofundisha morinyo huwa hazishambulii KABISA,huambulia magoli kiduchu sana
Unaikumbuka ile Chelsea yakina maluda, mikel obi, drogba, lampard, essien hii ilifunga mabao nahadi leo record yao yamabao kwamsim mmoja haijavunjwa pale epl
 
Ndugu zangu Mimi sina Mengi Ya kuongea Ila Tarehe 10 Ya Mwezi wa 6 Inter Milan Watajua Kuipa Amani Dunia, Inter Watabonyeza Kitufe Kiitwacho " MWISHO WA KELELE ZA MBWEHA MJANE"...

Hao Man city A.k.a Mapasi Kumi hawatoamini Kitakachowakuta

Amani iwe Nanyi anayedaiwa ni Kocha bora wa muda wote huyo Kipara Hatoamini Pale atakapokuw anavishwa Medali ya mshndi wa pili yenye rangi kam ya Bati huku akipishana kidog na kombe La UEFA,

Na hapo ndipo Tutakaposhauri sasa UEFA waanze Kutengeneza kombe la mshnd wa Pili ili Man city nao Waweze kujufarij nalo maan kw muda mref wamekuw wakifka hatua hyo ila Kombe NO.

INTER MILAN BINGWA UEFA 2023, Anayebisha atasadiki maneno yangu Baada ya Usiku wa Tarehe 10 June
 
Kufungwa na Inter milan Haitoondoa maana yakuwa kocha bora still atabaki kuwa kocha bora na anaefundisha mpira wakuvutia
 
Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi.

Ndani ya misimu Saba pale EPL kabeba mitano na miwili kaishika nafasi ya 2 na tatu. Hawajawahi kushika nafasi ya 4 hapo EPL huoni kama Hilo ni Jini!!!

Hiyo kuchukua Uefa ameshafanya hivyo Sana na Barca. Kwa umri wake ana kama miaka kingine 20 mbele atavunja record zote unazozijua za makocha wote unaowajua wewe. Ameikuta Manchester city ina vikombe vi5 vya EPL Leo ina vikombe 10 ndani ya misimu 7. Bado vikombe 10 afkie rokodi ya Manchester United mwenye vikombe 20 na bado vikombe 9 afikie vikombe 19 vya Liverpool.

Kama wewe huoni Gurdiola ni habari nyingine basi utakuwa na kichaa!

Kuhusu Budget nakubali lakini bajeti kubwa sio kila kitu. Tottenham anaspend hela nyingi Ila haifanyi lolote. PSG ni among top spender Ulaya Ila hafanyi lolote.

Manchester United ni among top spenders pale Ulaya Ila tangu mwaka astaafu Ferguson timu haina mbele walA nyuma

Al Nasry Ile timu ya Christiano Ronaldo ni among top spenders pale Saud Arabia Ila nenda kaangalie msimamo WA ligi Yao uone wanashika nafasi ya ngapi.

Nasema tena Acha kumlinganisha Gurdiola na wapuuzi

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Wewe ndio mpuuzi huyo kocha wakat anakuja city akina Robert Mancini walishabeba sana vikombe vya epl nakina aguero, yaya toure, ishu yaman city ni uefa tu miaka yote saba hapo city hana uefa katumia mapesa kibao kununua wachezaj kitu ambacho angekua chelsea enz abramovic angeshafukuzwa kocha gan hana uefa nje yamessi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1783]. Umesahau Messi ,inesta na shavi ,Leo hayupo nao imegeukiwa pesa lakini mbinu hawatamki
Naukiwatoa hao pep hajawai kupata kombe lolote lauefa yan kifupi bila messi gardiola hapat uefa
 
Kufungwa na Inter milan Haitoondoa maana yakuwa kocha bora still atabaki kuwa kocha bora na anaefundisha mpira wakuvutia
kama kocha bora abebe UEFA basi mnayotupigia nayo kelele kutwa nzima humu JF, kuwafunga wale ma fatherhood Madrid mnajiona Mmefika sana ?? Sasa subirini kivumbi cha Inter kiwashukie Mtatafutan hiyo siku
 
Hana uwezo wa hivi.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
kama kocha bora abebe UEFA basi mnayotupigia nayo kelele kutwa nzima humu JF, kuwafunga wale ma fatherhood Madrid mnajiona Mmefika sana ?? Sasa subirini kivumbi cha Inter kiwashukie Mtatafutan hiyo siku
Hiyo uefa akichukua itakuwa mala ya 3 kufanya ivyo kwenye carrier yake kuhusu kumfunga madrid sio big deal coz ameanza kumfunga Bayern robo fainali
 
Pep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Mbona alikuwa anabeba vikombe na wakina Lionel Messi watoto kutoka La masia au hujui

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Nilichoona wachangiaji wengi sio kama hawamkubali Pep ila wanaumizwa jinsi gani Pep alivyoset high standard kuchukua ubingwa 😃. Timu zao zinashindwa kupambana nae jino kwa jino na mbinu za mchawi wa mpira mtaalamu Josep "Pep" Guardiola Sala.

Ndugu zangu muombe tu huyu bwana abebe UEFA mwaka huu ili awaachie ligi yao na timu zingine zipate
upenyo wa kupumua maana kibano anachotoa ni kikali sana. Na asipochukua UEFA mwaka huu hasira zake zote anaenda kuvunja rekodi zpte za EPL.

Kitu kinachombakiza Guardiola Man City ni UEFA pekee anaka kuwaprove watu wrong akichukua tu sidhani kama atasalia kuifundisha City ataenda kutafuta changamoto mpya.
 
Kwahiyo tukimpa tot atabeba ubingwa?? Alaf pep hajatengeneza mchezaj yoyote,hao wote kawachukua wapo kwenye form zaoo
Morinho kamrengeneza nani?

Atengeneze yeye ni mwalimu wa academy?

Ulimjua phoden before pep?

Ulimjua busquets ?
Pedro

Alcantara

Ivi unajua ata Horjberg wa Spurs kaibuliwa na pep?
 
●Sababu ya Pep kuondoka Barça:
Ngoja kwanza nikupe sababu ya Pep kuondoka Barça. Baada ya Barça kutolewa na Chelsea kwenye UEFA msimu wa 2011/2012, Pep alitangaza kuwa ataondoka Barça mwishoni mwa msimu huo. Hivyo kusema Mou ndiye aliyemfukuzisha kazi sio sahihi kabisa.

Tuanze sasa historia nzuri kati ya Pep na Mou pale Spain

[emoji830]︎RMA walimsajili Mourinho mwaka 2010

[emoji830]︎Pep akaondoka Barça 2012

Tupitie rekodi zao za misimu miwili waliyokutana 2010/2011 na 2011/2012

MSIMU WA 2010/2011 (Pep vs Mou)
(1)Walipokutana kwa mara ya kwanza kwenye la liga RMA alilamba goli 5-0 pale Camp Noú msimu huo Barça wakabeba kombe la La Liga

(2)Kwenye semi final ya UEFA wakakutana Barça na RMA. Barça akamtoa RMA kwa aggregate ya 3-1, Barça akanyanyua UEFA msimu huo.

(3)Mwaka huo RMA chini ya Mou waliambulia Copa del Rey tu

MSIMU WA 2011/2012 (Pep vs Mou)
(1)Barça na RMA walikutana kwenye Spanish Super Cup. Barça wakashinda 5-4 in aggregate

(2)Msimu huu Barça chini ya Pep walishinda kombe la Copa del Rey na Spanish Super Cup

(3)RMA walinyanyua kombe la La Liga

Kwa takwimu hizo ni nani alikuwa bora Pep au Mou?
Sasa haya si maneno yako tu? Ambatanisha hapa valid statements toka kwenye official website source nikubaliane nawe, mbali na hapo ni porojo tupu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndio mpuuzi huyo kocha wakat anakuja city akina Robert Mancini walishabeba sana vikombe vya epl nakina aguero, yaya toure, ishu yaman city ni uefa tu miaka yote saba hapo city hana uefa katumia mapesa kibao kununua wachezaj kitu ambacho angekua chelsea enz abramovic angeshafukuzwa kocha gan hana uefa nje yamessi
Moriminyoo kafundisha Manu miaka mingapi na alichukua URFA ngapi?
 
Back
Top Bottom