Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Ni kama scolari alivyoamua kumuacha romario WC ya 2002 na kumchukua dinho nchini kwake watu walisema sana ili mwisho wa siku kombe akalibeba
Kocha anatakiwa awe na misimamo yake

acha kukariri, Romario na Ronadinho walikuwa wanacheza position tofauti kabisa.
 
sasa hapo cha ajabu ni nini? kwani Fergie hakuwapa Man Utd mara 3 mfululizo? PSG ameshinda ngapo mfululizo france? Conte hakuwapa Juve 3 mfululizo? Zidane hakuipa madrid Champion league 3 mfululizo?
Sasa ulitaka afanye maana kila kocha unasema Hana jipya
 
Utalinganisha EPL. Na France league 1

Your very special stupid

tatizo liko wapi? kabla ya utawala wa PSG kila mwaka tulikuwa tunapata bingwa mpya France, wakati kabla ta utawala wa City palikuwa na utawala wa Man Utd England
 
Alisajili wachezaji 13

1. Mario Gotze - €37 million

2. Thiago Alcantara - €25 million

3. Juan Bernat - €10 million

4. Pepe Reina - €3 million

5. Medhi Benatia - €28 million

6. Xabi Alonso - €9 million

7. Sinan Kurt - €3 million

8. Douglas Costa - €30 million

9. Sven Ulreich - €3.5 million

10. Joshua Kimmich - €8.5 million

11. Arturo Vidal - €37.5 million

12. Kingsley Coman - €7 million

13. Serdar Tasci - €2.5 million


Kwa wachezaji hawa alikaa misimu mitatu 2013 Hadi 2016 akachukua vikombe almost vyote Bundesliga na Uefa alikuwa anatokea hatua za mtoano.




Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Mbona wachezaji wenyewe walikuwa wa bei za kawaida tu.?
 
Ni kama scolari alivyoamua kumuacha romario WC ya 2002 na kumchukua dinho nchini kwake watu walisema sana ili mwisho wa siku kombe akalibeba
Kocha anatakiwa awe na misimamo yake
Baadhi ya Wabrazili waliandamana kumpinga lakini mzee Scolari akabaki na maamuzi magumu kama kocha lakini ya uhakika wakanyanyua WC
 
Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Huyo Mourinho kasajili kwapesa nyingi sana alipokua Madrid. Nenda kaangalie alipata nini

Graham Potter chelsea kasajili mwa trillion 1, nenda kaangalie kapata nini

Tatizo sio kusajili, Bali uwezo wa kocha pia huchangia. Pep hakusajili kwa pesa nyingi Barca ,Ila alipata mafanikio kwa kuwatumia wachezaji wengi wa hapo hapo. First eleven ya Barca pep alisajili wachezaji wawili tu David Villa na mascherano
 
Sijamponda, nimeongea uhalisia mkuu. Ni kweli ligi zote kuna giants ila pamoja na uwezo wake mkubwa, Pep budget yake pia sio ndogo, ili achukue UCL pale city, ametumia $$$ nyingi mno.
Kaangalie toka pep ameenda city katumia kiasi gani, alafu angalia na man utd wametumia kiasi gani. Ukimaliza njoo tujadili hapa

Pep ana jicho la kununua wachezaji wazuri kwa gharama ambayo sio kubwa sana, tofauti na timu zingine gharama kubwa alafu wanakua flop
Mfano man utd: Maguire, Sancho, lukaku, pogba,
 
Fifa club world cup alibeba akiwa na klabu zipi na miaka gani?

Una mahaba hadi unaongeza chumvi [emoji16]

Kabeba mara 2 tu akiwa na Barcelona aliyoikuta ilitoka kubeba UEFA CHAMPIONS LEAGUE chini ya Rijkard.

Mahaba yatakuua wewe Mwa-City [emoji4]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Acha uongo. pep kabeba ucl akiwa Barca 2009, na akabeba club world cup mwaka huohuo 2009 dec

Kabeba tena ucl 2011 na mwaka huohuo dec akabeba fifa club world cup

Rijkaard kaondoka Barca 2008 ikiwa haina kombe lolote. Barca ya rijkaard ilijengwa na ronaldinho, deco, etoo. Pep alivyoongia akandoa hiyo, akaunda ya kwake
 
Pep ni kocha wa kawaida sana,yan kwa hao quality players lazima uwe bingwa,,kama yeye noma aende tot/man u achukue ubingwa.Kile kikosi cha barca alichokua uefa hata mgunda akipewa anakua bingwa,cheki kina morinho wanakua mabingwa na vikos vya kawaida sana.Pep yeye ampaka awe na quality players ndo anakua bingwa
Kama yeye noma aende tot/man u

Man u anaweza kwenda,. Ila tot sio daraja lake. Ni sawa na useme leo hii mama samia awe mkuu wa wilaya.

Unasema kikosi Cha Barca ile hata mgunda akipewa anachukua ubingwa? Unajua baada ya pep kuondoka ni makocha wangapi walifukuzwa Barca? Pep alivyoondoka Barca, timu alipewa vilanova akaenda kupigwa 7 na Bayern huku Barca wakionekana wachomvu mno.
Labda umesahau
 
Jose Mourinho ndiye alimfukuzisha kazi Pep Kiparangoto pale Hispania baada ya kupigwa nnje ndani kwa wiki 1 tu huku Real Madrid ikitwaa EPL na Copa Del Rey, fuatilia vizuri kumbukumbu za mwaka wa mwisho Pep kuifundisha Barcelona utanishukuru.

Pep anamuheshimu sana Mourinho kwenye mechi za mtoano na anamwelewa vyema sana kuwa Special One huwa hacheki na kima akiwa kwenye hatua hizo.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Pep hakuwahi kufukuzwa sehemu yoyote.

Msimu wa mwisho wa pep pale Spain ilikuwa 2011-2012, bingwa wa copa de la rey alikuwa ni Barcelona. Wewe hiyo ya bingwa Madrid umeitoa wapi wakati Madrid waliishia robo fainali Tena kwa kutolewa na hao hao barcelona

Unasema mou anamzidi pep kwenye knoctouts? Mbona sasa mou ndio kapigwa na pep mara nying?
 
Pep nilianza kumchukia akiwa Barca kwa ishu ya Yaya Toure, akaja kurikera tena kwa ishu ya Ronaldinho akamalizia kunitibua nafsi alivyozinguana na Et'oo.
Alivyohamia Mancity akanitibua tena kwa bifu lake na Yaya Toure, ila yote kwa yote hata umchukie Guardiola kwa kiasi gani ila ni lazima umkubali kimoyomoyo na umpe heshima yake kama kocha bora zaidi duniani kwa sasa. View attachment 2632121
Hapo unapingana na wanaosema anategemea wachezaji Bora na wenye majina

Kamuondoa ronaldinho, etoo, henry, yaya you're, deco. Alafu angalia aliowapandisha first eleven, iniesta, busquets, Pedro, Villa. Alafu pima je timu ilikua mbovu au nzuri zaidi

Pep sio kwamba alikua na bifu na hao, Bali huwa Kuna wachezaji hawaamini. Hata city alipofika alimuondoa Joe hart ambae alikua bora sana kwa wakati huo
 
Back
Top Bottom