Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Mkuu mimi huwa nahama na Pep guardiola kila anakokwenda atanikuta nimetangulia .Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point 85 huku anaemfuata Arsenal akiwa na point 81 na amebakiwa na mchezo mmoja mkononi ili kumaliza ligi wakati man city yeye akibakiza michezo miwili.
Ubingwa huu aliochukuwa man city chini ya kocha Pep Guardiola utakuwa ni ubingwa wao wa tatu mfululizo kuchukua chini na Kocha Pep Guardiola akifanya ivyo msimu wa 2019/2020, 2021/2022, 2022/ 2023 Wakati huo huo man city bado yupo kwenye mbio za kugombania makombe mengine fainali kombe la FA Ambayo atamenyana na Manchester United, fainali ya Uefa champion league dhidi ya Inter Milan, Kiufupi Guardiola ameshindikanika.
Licha ya makombe anayozidi kuyakusanya katika club mbalimbali pia guardiola ni kocha anayesifika kwa kufundisha mpira unaovutia kwa watazamaji mpira wa pasi nyingi, ikumbuke ile Barcelona ya akina Iniesta, Xavi na Lionel Messi, ilikuwa ni hatari mpaka Furgeson anatetemeka mikono [emoji1787][emoji1787]. Kumbuka jinsi alivyoweza kuibadilisha Beyern Munich kutoka kwenye piga tukimbizane mpaka mpira wa pasi nyingi.
Haya ni baadhi ya makombe makubwa aliyowahi kuyachukua Mtaalam Pep Guardiola.
1. Uefa champion league..... ×2
2. Uefa Supercup....×3
3. Spanish (Laliga)......×3
4. England premier league.......×5
5. Bundersliga..........×3
6. Fifa club world cup......×3
View attachment 2629308
Hoja nyepesi hiiBudget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Asa unataka kocha atumie wachezaji asio wataka?Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Hana identity football yakeKocha mzuri ila amezidiwa na Guardiola vitu vingi
Wananchi atatufaa huyu NABI akizingua.Baada ya Arsenal kuchezea kichapo cha goli moja kwa bila dhidi ya Nottingham forest ni rasmi ubingwa wa ligi kuu uingereza msimu wa 2022/2023 unakwenda kwa manchester city ambaye anajumla ya point 85 huku anaemfuata Arsenal akiwa na point 81 na amebakiwa na mchezo mmoja mkononi ili kumaliza ligi wakati man city yeye akibakiza michezo miwili.
Ubingwa huu aliochukuwa man city chini ya kocha Pep Guardiola utakuwa ni ubingwa wao wa tatu mfululizo kuchukua chini na Kocha Pep Guardiola akifanya ivyo msimu wa 2019/2020, 2021/2022, 2022/ 2023 Wakati huo huo man city bado yupo kwenye mbio za kugombania makombe mengine fainali kombe la FA Ambayo atamenyana na Manchester United, fainali ya Uefa champion league dhidi ya Inter Milan, Kiufupi Guardiola ameshindikanika.
Licha ya makombe anayozidi kuyakusanya katika club mbalimbali pia guardiola ni kocha anayesifika kwa kufundisha mpira unaovutia kwa watazamaji mpira wa pasi nyingi, ikumbuke ile Barcelona ya akina Iniesta, Xavi na Lionel Messi, ilikuwa ni hatari mpaka Furgeson anatetemeka mikono [emoji1787][emoji1787]. Kumbuka jinsi alivyoweza kuibadilisha Beyern Munich kutoka kwenye piga tukimbizane mpaka mpira wa pasi nyingi.
Haya ni baadhi ya makombe makubwa aliyowahi kuyachukua Mtaalam Pep Guardiola.
1. Uefa champion league..... ×2
2. Uefa Supercup....×3
3. Spanish (Laliga)......×3
4. England premier league.......×5
5. Bundersliga..........×3
6. Fifa club world cup......×3
View attachment 2629308
Kabisa liverpool alionyesha kumchallenge lkn pumzi imewakataHuyu jamaa epl ataichukua mpaka atakapoona inatosha
[emoji1787][emoji1787]Mkuu mimi huwa nahama na Pep guardiola kila anakokwenda atanikuta nimetangulia .
Kiukweli dunia hii kwa sasa hakuna kocha bora anayefundisha amazing football kama mwamba niko naye hadi atakapoamua kupumzika kufundisha soka.
Mbona kocha anaeongoza kwa kutumia pesa ni MourinhoHuyo ni manager wa Billion Pound Squad, kuchukua kombe na Leicester kama Ranieri, Blackburn kama Dalgish, Valencia kama Benitez, Arbedeen kama Ferguson, Porto kama Mourinho hawezi na hawezi hata kujaribu.
Umewahi kupitia budget ya PSG mbona hawana lolote la maana kwenye mashindano ya kimataifa ?Budget ya clubs anazofundisha huwa unaipitia? Ji kweli ni kocha bora sana, ila nae anakuwa na budget kubwa sana. Hata jana Mourinho alisema, una bench lenye 200m, wakati huo upo na quality ya hali ya juu ndani ya uwanja. Huwezi kulinganisha na hawa wanaopewa limited budget.
Hoja ni kuwa mafanikio ni matokeo ya uwekezaji na mwalimu mzuri. Chelsea kwa sasa wamewekeza vizuri kwa wachezaji wazuri ila bado kumpata mwalimu bora. Kuna makocha waliodhihirisha kuwa hata kwa bajeti ndogo, wanaweza kupata matokeo.Pep bila bajeti kubwa ni wa kawaida sana.Ishu sio Budget sababu zipo timu nyingi zilizotumia fedha nyingi zzaidi ya manchester city lkn bado hazifanyi vizuri, mfano kuna msimu manchester united alitumia pesa nyingi kusajili akina Magure, Sancho nk lkn wako wapi alikazalika chelsea, Nottingham forest
Pep ukimpa Everton itashuka daraja.Ancelloti alipokuwa Everton alikuwa anapigwa na Guardiola nje ndani, sema jamaa aliweza fanya Everton kuwa katimu ka ushindani ila mfumo wa Carlo ule ni WA darasani, ila wa Pep sio wa darasani, ile ni alien level .
Barka aliridhi kikosi kilichokuwa kizuri toka kwa Rijkaard.Pep Guardiola ni genius nilianza kuliona hilo tangu alipoanza kukinoa kikosi cha Barça
Hana uwezo wa hivi.Huyo ni manager wa Billion Pound Squad, kuchukua kombe na Leicester kama Ranieri, Blackburn kama Dalgish, Valencia kama Benitez, Arbedeen kama Ferguson, Porto kama Mourinho hawezi na hawezi hata kujaribu.
Unajua ni wachezaji wangapi aliwapiga chini baada ya Rijkaard kuondoka Barça ili asuke kikosi chake?Barka aliridhi kikosi kilichokuwa kizuri toka kwa Rijkaard.
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app