Pep Guardiola ndio Kocha Bora kwa sasa Duniani

Uyo morinyo akae kimya TU mpira ushamshinda,yeye mbona pia kafundisha club kubwa zenye bajeti kubwa ila kimafanikio hamfikii pep hata nusu
Mourinho ndio alivunja utawala wa Barcelona Hispania, Mourinho kashinda makombe yote. Hata kwa timu ambazo hazina pesa kama Roma, bado makombe anabeba tu.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa kocha bora haina maana upewe timu yoyote ile
Pep kajitahidi sana kwa bajeti anayopewa kupata wachezaji sahh
Kuna kocha mmoja katumia 100mill kwa kibaka mmoja asiye na msaada kwenye timu [emoji482]
Unamzungumzia mudi?
 
Bench la chelsea njee ni shi ngap?
 
Kwenue European stage, Pep ana UCL ngapi ukilinganisha na Mourinho?
Binafs morinyo nu conservative Sana,anafundisha mpira wa kizamani (too defensive) na hayuko flexible kubadilika kimbinu

Timu zote anazofundisha morinyo huwa hazishambulii KABISA,huambulia magoli kiduchu sana
 
acha kuongea ovyo mkuu. hebu taja hao wachezajoi wapya aliowasajili kusuka kikosi.
Baadhi ya wachezaji wakubwa ambao Pep aliwapiga chini Ronaldinho, Deco, Yaya Touré, Zlatan Ibrahimović, Eto'o, Fabregas

Akamleta Pedro, David Villa, Mascherano na Busquets, akamfanya Messi acheze kama false 9

Kama haitoshi akamleta Dani Alves akamrudisha Piqué pale Barça kutokea United

Achilia mbali ubora wa uchezaji ile possession na pressing mpaka kwenye 18 ya adui

Muulize Fergusson hatasau pale Wembley mwaka 2011 fainali ya UEFA lilipigiwa mbungi mpaka mzee akawa anatetemeka hajui afanye nini
 
Kuwa kocha bora haina maana upewe timu yoyote ile
Pep kajitahidi sana kwa bajeti anayopewa kupata wachezaji sahh
Kuna kocha mmoja katumia 100mill kwa kibaka mmoja asiye na msaada kwenye timu 🍻
Nilichoona humu watu wamejificha kwenye kichaka cha Champions League. Kama issue ni pesa Chelsea kaspend millions lakini cheki wanavyohangaika. Pep apewe maua yake.
 
Pia gusia Barcelona ya bora ya Pep iliyoleta fainali na Inter ya Mourinho.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Nakazia,Watu waache wivu bhana
Pesa haiwezi kua mbadala wa makombe[emoji4]
Watu wana wivu tu wakiwemo FA kama pesa hata Man U Chelsea wote big spenders. Nimeona sehemu watu wanaomba Pep abebe UEFA awaachie ligi yao. Pep mwenyewe kasema bado yupo pale City ataendelea kuwanyoosha kwa kubeba back to back EPL.
 
Ha ha ha....kweli aisee

Maana alipokua Barca,
wakasema ligi gani ile haina ushindani

Kaenda Bayern wakasema ligi ya walevi,hamna jipya

Kaja epl wakasema atapotea,

Sahv wantaftana Nini kimetokea mhuni kawazidi mbinu japo nao wanatumia pesa Kama yeye[emoji1]
 
Kuwa kocha bora haina maana upewe timu yoyote ile
Pep kajitahidi sana kwa bajeti anayopewa kupata wachezaji sahh
Kuna kocha mmoja katumia 100mill kwa kibaka mmoja asiye na msaada kwenye timu 🍻
Mtaje tu ni EtH. Pep kila timu anayoenda kuna unlimited funds. Kuna makocha wengi tu Europe wakipewa budget ya Pep watafanya anachokifanya kwasababu yeye kazi yake kubwa ni kuchukua wachezaji waliopikwa na kuwakusanya.

Kimbinu alishazidiwa hata na Solskjaer. Alikula vichapo 3 mfululizo ktk msimu. Pale Etihad ilikuwa United anachukua points tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…