Jaywiz Theboy
New Member
- Dec 12, 2024
- 1
- 4
Nina swali hapa, kuna manzi nilichapa bao moko but nilipiga kavu nikawa simwamini. Siku ya pili nikaenda chukua PEP nimetumia siku 6 na kuacha kwa siku 2 kisha kuendelea nazo, nina wasiwasi zinaweza fanya kazi kweli kama niliukwaa