Pepe Kalle kuimbia Yanga mwaka 1992

Pepe Kalle kuimbia Yanga mwaka 1992

vidodi

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2014
Posts
361
Reaction score
125
Legendary wa bolingo pepe Kalle aliimbia yanga Mwaka 1992 nyimbo ya kuipa hongera ya ubingwa Africa mashariki na kati Je why simba haijawah kupaishwa kabisa hvyo inaonyesha yanga ni timu kubwa hongera kwa yanga
 
Simba haipendwi na watu wa kawaida...
 

Attachments

  • 1430430438106.jpg
    1430430438106.jpg
    35.7 KB · Views: 114
u will die by heart attack karibu kwetu jangwani! tusameheane mda mwingine uwanja unajaa maji ila ndio mabingwa tena!

Manji mwenzio anajuta,jinsi alivyotumia pesa nyingi kuhonga Ili tu kandambili ishinde,huyu muhindi ndio anaoharibu mpira bongo,TFF mtupieni macho huyu mdosi..
 
Manji mwenzio anajuta,jinsi alivyotumia pesa nyingi kuhonga Ili tu kandambili ishinde,huyu muhindi ndio anaoharibu mpira bongo,TFF mtupieni macho huyu mdosi..
Akili zako kama Hajji Manara zikipimwa hata hazijai kwenye ganda la karanga.
 
asante simba kwa kushiriki......mwakani mje taifa kuishangilia yanga ikicheza na kaizer chief na yanga watakuja kuwashangilia pale kinesi mkicheza na kombaini ya vitambi noma.
 
Back
Top Bottom