Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba haipendwi na watu wa kawaida...
Naipenda simba mshabiki wa kweli..
Kuna yule jamaa wa kigodoro aliimba kuhusu simba......
u will die by heart attack karibu kwetu jangwani! tusameheane mda mwingine uwanja unajaa maji ila ndio mabingwa tena!
Manji mwenzio anajuta,jinsi alivyotumia pesa nyingi kuhonga Ili tu kandambili ishinde,huyu muhindi ndio anaoharibu mpira bongo,TFF mtupieni macho huyu mdosi..
Akili zako kama Hajji Manara zikipimwa hata hazijai kwenye ganda la karanga.Manji mwenzio anajuta,jinsi alivyotumia pesa nyingi kuhonga Ili tu kandambili ishinde,huyu muhindi ndio anaoharibu mpira bongo,TFF mtupieni macho huyu mdosi..
Akili zako kama Hajji Manara zikipimwa hata hazijai kwenye ganda la karanga.