Pepe na Bruno Fernandes wailaumu Argentina kwa kufungwa jana

Pepe na Bruno Fernandes wailaumu Argentina kwa kufungwa jana

February Makamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2020
Posts
2,151
Reaction score
2,983
Wachezaji wa Ureno Pepe na Bruno Fernandes wanamlaumu Messi na Argentina kwa kufungwa jana.
Wanasema kuwa FIFA inamuandalia Messi kombe la dunia kwa lazima na ndio maana refa wao aliwekwa wa Argentina aliyekuwa anaipendelea Morocco.

My take: Hawa wametumwa na binadamu mwenye wivu mwingi kuliko kipaji aitwaye CR7
20221211_191019.jpg
20221211_191014.jpg
 
Wana roho mbaya hao.Walitaka Africa tuwe mizukule kila mwaka tutolewe tu.

Wangekaza Matako washinde..wakaenda kulegea kiwanjani kule.

Kenge kabisa hao..hii mijitu haitupendi tunaishabikia basi tu.

Morocco aendelee kukiwasha tusikie mengi zaidi.

Wapuuzi sana hao..
 
Sio kosa lao, maumivu ya kutolewa ndio yanawasumbua, wapewe pole tu.

Ubelgiji alitoka, Ujerumani alitoka, Hispania akatoka, Brazil nae akatoka, wao nani wasitoke?!

Siku zote bingwa atabaki mmoja tu, kama ikitokea wakawa Argentina basi watakuwa wamestahili, hao jamaa wasilete majungu.

Wanashangaza zaidi kumchukia Messi wakati wao walimuweka Ronaldo benchi..!!
 
Wana roho mbaya hao.Walitaka Africa tuwe mizukule kila mwaka tutolewe tu.

Wangekaza Matako washinde..wakaenda kulegea kiwanjani kule.

Kenge kabisa hao..hii mijitu haitupendi tunaishabikia basi tu.

Morocco aendelee kukiwasha tusikie mengi zaidi.

Wapuuzi sana hao..
Hahaha hawaamini
 
Bora ungesema Argentina hawezi kuchukua hii WC lakini swala la kwenda final Argentina possibility ni kubwa sana ndugu
 
Back
Top Bottom