February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,151
- 2,983
Hahaha hawaaminiWana roho mbaya hao.Walitaka Africa tuwe mizukule kila mwaka tutolewe tu.
Wangekaza Matako washinde..wakaenda kulegea kiwanjani kule.
Kenge kabisa hao..hii mijitu haitupendi tunaishabikia basi tu.
Morocco aendelee kukiwasha tusikie mengi zaidi.
Wapuuzi sana hao..
The ronaldo effectKutolewa wametolewa na Morocco kulaumiwa ana laumiwa Messi.
Anatoboa tena ndani ya dakika 90Argentina akitoboa kwa Croatia niiteni Mwigulu nimekaa pale.
Nimekaa pale.Anatoboa tena ndani ya dakika 90
Uzuri JF ni kama maktaba ,comment yako tume ihifadhi.Argentina akitoboa kwa Croatia niiteni Mwigulu nimekaa pale.
Uzuri JF ni kama maktaba ,comment yako tume ihifadhi.
Kwaio mwigulu = umbwaArgentina akitoboa kwa Croatia niiteni Mwigulu nimekaa pale.
Uyo refa jana kachezesha poa sana wangepewa yule refa aliyecheza Argentina na Holland wangesemaje?
yule angewanyosha,mpaka wangerusha ngumi na nyekundu zingetembea sana...
Maumivu ya kutolewa bado yanawatesa.Kutolewa wametolewa na Morocco kulaumiwa ana laumiwa Messi.