Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Pepe alikua mzuri lile siyo timu ya washika bunduki nikama Torres kipindi yuko Liverpool alipoenda Chelsea ilikua hana thamani maana yy na bilisi anakosa magoliKwa kipimo cha mechi izii 12 za ligi kuu na EUROPA league James ameonesha kiwango kizuri kuliko pepe japo kwa msimu wa mwaka jana pepe alikiwa mziri pia
Pepe ni mkali, tatizo teamHawa wote wamesajiliwa majira haya ya kiangazi, Pepe akitoka Lille kwenda Arsenal kwa usajili wa rekodi ya klabu. Wakati James akitoka Swansea kwenda Man Utd.
Ukiambiwa chagua mmoja kati yao, wewe utamchagua yupi na kwanini?
Pepe ni mkali, tatizo team