Pepe Vs Daniel James nani zaidi?

Pepe Vs Daniel James nani zaidi?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Hawa wote wamesajiliwa majira haya ya kiangazi, Pepe akitoka Lille kwenda Arsenal kwa usajili wa rekodi ya klabu. Wakati James akitoka Swansea kwenda Man Utd.

Ukiambiwa chagua mmoja kati yao, wewe utamchagua yupi na kwanini?
 
Huyu Pepe ni hatari kwenye beach soccer namfahamu toka zamani sana akiwa accadem du Maputo na James ni hatari kwenye mpira wa magongo anatisha sana na team yake ya Canadian Magic ,tafuta wanaocheza mchezo unaofanana tuwalinganishe ,Kama Hamiliton na King James wa Lakers
 
Kwa kipimo cha mechi izii 12 za ligi kuu na EUROPA league James ameonesha kiwango kizuri kuliko pepe japo kwa msimu wa mwaka jana pepe alikiwa mziri pia
Pepe alikua mzuri lile siyo timu ya washika bunduki nikama Torres kipindi yuko Liverpool alipoenda Chelsea ilikua hana thamani maana yy na bilisi anakosa magoli
 
Pepe ni mchezaji mzuri sema sijui ni wenge au nux za arsenane napenda sna jamaa anavyoutumia mguu wake wa kushoto, kwa mtazamo wangu pia wachezaji wa arsenal ni wazuri kuliko man utd, hivyo James anaweza kua mzuri zaidi kama ot pale yatapatikana majembe ya uhakika, tukienda kiujumla kabisa kabisa naona pepe ni mchezaji mzuri ila tukija ki performance hasa msimu huu kura yangu inamuangukia James
 
Back
Top Bottom